Bushoke kuvunja ukimya kwa single mpya ‘Bwagamoyo’ na album

Hitmaker wa nyimbo kama Barua,Mume Bwege na Dunia Njia, Ruta Bushoke ambaye kwa sasa anaishi nchini Afrika Kusini, anatarajia kuachia wimbo mpya na album.Bushoke ambaye anaishi jijini Pretoria, ameiambia Bongo5 kuwa kwenye album hiyo amemshirikisha baba yake Mzee Max Bushoke aliyewahi kuwa mwanamuziki wa bendi ya Sikinde huku kwa sasa akifanya kazi ya utangazaji nchini humo.

“Album yangu mpya ambayo nimemshirikisha Baba Mzee Max Bushoke inaitwa Bushoke international Album,” amesema Bushoke.

“Nimemshirikisha katika nyimbo kama 3. Bado haijaisha. Ila nyimbo kama 8 zipo tayari Ukiacha ‘She Want It’ niliyofanya na Face off kutoka Uganda. Kwa sasa “Bwagamoyo” ndio nyimbo rasmi ntaitambulisha nimeimba peke yangu. Nimefanya katika studio inaitwa Tidy Production Cape Town, producer ni Danro. Na pia nimeshafanya video za ngoma kama tatu pamoja na hii ya Bwagamoyo.

Anne Kansiime kuwasili jijini Dar July 31

Mchekeshaji Anne Kansiime anatarajiwa kuwasili July 31 jijini Dar es Salaam tayari kwa burudani kali hapo August 2 kwenye ukumbi wa Golden Tulip.Mkali wa huyo wa kuchekesha na sanaa za majukwaani Afrika Mashariki, atawasili majira ya saa kumi jioni kwa ndege ya shirika la Rwanda.

Anne anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari hapo Ijumaa saa tano kamili asubuhi kwenye ukumbi wa Sports Lounge uliopo Posta, na jumamosi atasalimiana na mashabiki katika viwanja vya Mlimani City.

Burudani ya hiyo ya Anne, ambayo itasindikizwa na Fredi Omondi kutoka Uganda na Pilipili wa Tanzania, huku ikinogeshwa na bendi ya ODAMA, imeandaliwa na kituo cha Radio


(NEW AUDIO)DITTO ft AFANDE SELE - WAPO| Download

Asia - Leo (Officiall Video)

Awilo Longomba - Bundelele (Official video)

PAPAA MASAI ft TUNDA MAN_-SIONI AJABU(NEW AUDIO)

Florah Mvungi Ft. H-Baba - Kidogo(NEW AUDIO)

Nyemo Soa- Ahadi (Official Video)

Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel

Dully Sykes aelezea maana ya wimbo wake ‘Togola

“Togola maana yake kama salamu tu, kizigua hicho,” alisema Dully. Unajua mwanaume unapokuwa mwenyewe huna partner ndani ya gari inabidi uanze kutizamatizama nikasema ‘mtizame’ lakini kutizamatizama unaweza kumuona mmoja wapo nje ukashusha kioo ukasema ‘hello, habari yako, salama’ hapo tayari ushatogola. Na ndio maana inamaanisha hii nyimbo kuwa ‘wewe bado ni kijana na unataka msichana wa maana’, msichana wa maana ni yule ambaye yupo tayari kuolewa.”

KCEE - OGADINMA9(OFFICIAL VIDEO)

Nigerian Artist 'Kcee' presents a new music video 'Ogadinma' from his Takeover album.Directed by Aje Film...

Nikki Mbishi ft Ngurumo_-Jemedari(NEW AUDIO)

DIAMOND PLATINUMZ NA DAVIDO BAADA YA KUPOKEA TUZO ZAO

                      DIAMOND PLATINUMZ NA DAVIDO BAADA YA KUPOKEA TUZO ZAO
                         DIAMOND MUDA MFUPI BAADA YA KUPOKEA TUZO YAKE

Hii ni orodha kamili ya washindi wa AFRIMMA 2014 Lady Jay Dee Anyakuwa Nae Tuzo AFRIMMA 2014

Hii ni orodha kamili ya washindi wa AFRIMMA 2014
Best DJ Africa 2014- Dj Black (Ghana)
 Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya)
 Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria)
Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania)
 Best Male West Africa 2014- Davido (Nigeria)
 Best Female East Africa 2014- Lady Jaydee (Tanzania)
 Best Female West Africa 2014 – Tiwa Savage (Nigeria)
 Best Male Central Africa 2014 – Fally Pupa (Congo)
 Best Female Central Africa 2014- Gasha ( Cameroon)
 Best Male Southern Africa 2014- Khuli Chana (South Africa)
 Best African Group 2014- P-square (Nigeria)
 Best Male Diaspora 2014- Fuse ODG (Ghana)
 Best Female Diaspora 2014- Les Nubians (Cameroon)
 Best Female Southern Africa 2014- Zahara (South Africa)
 Best Dancehall Artist 2014 – Timaya (Nigeria)
 Best Dance in a Video 2014- Iyanya (Lekwa Ukwu) (Nigeria)
 Best Gospel Artiste 2014- Bahati (Kenya)
 Best Traditional Artist 2014- Flavour (Nigeria)
 Best Newcomer 2014- Stanley Enow (Cameroon)
 Best Video Director 2014- Ogopa Dj’s (Kenya)
 Music Producer of the year 2014- Dj Oskido (South Africa)
 Best Dance Group 2014- Imagineto (Nigeria)
 Best Rap Act 2014- Sarkodie (Ghana)
 Best Collaboration 2014- Mafikizolo ft Uhuru (Khona) (South Africa)
 Song of the Year 2014- Kcee (Nigeria)
 Artist of the Year 2014- Davido (Nigeria)
 Leadership in Music Award 2014- (2face Idibia)
 Legendary Award 2014- (Yvonne Chaka Chaka)
 Transformational Leadership Award 2014- (Chief Dr. Godswill Akpabio)

Professor Jay ft J Hustle & Nigga J_-Tatu Chafu(KIONJO)

Diamond Platnumz ft Mugabe - LawaMa(NEW AUDIO)


Dully_Sykes_-_Togola(NEW AUDIO)

"Togola" Ni mkwaju mpya wa Prince Dully Sykes akiwa ameutayarisha yeye mwenyewe ndani ya studio za 4.12.Isikilize na Download h...

Diamond Platnumz Aibuka mshidi Tuzo Za Afrimma Awards


Diamond Platnumz ambaye yuko Marekani katika Tuzo za Afrimma Awards ambazo zimefanyika leo jijini Texas asubuhi kule ni kama saa saba za Usiku na ameibuka mshindi kwa kunyakua Tuzo Mbili moja ni Msanii bora wa East Africa
(Best Male East Africa)
ambapo alikua akichuana na
Ben Pol (Tanzania)
Bebe Cool (Uganda)
Wyre (Kenya)
Navio (Uganda)
Jackie Gosee (Ethiopia)


wimbo bora wa kushilikiana
(Best Collabo)
na kuzigaragaza ngoma kama
2face ft Tpain- Rainbow ( Nigeria/ United States)
Mafikizolo ft Uhuru-- Khona ( South Africa)
Dr Sid ft Don Jazzy /Phyno/Wizkid- Surulere remix(Nigeria)
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
Jmartins ft DJ Arafat--- Touching body ( Nigeria/ Ivory Coast)
R2bees and Wizkid- Slow down ( Ghana/ Nigeria

BREAKING NEWS: BAHATI BUKUKU APATA AJALI YA GARI DODOMA

Gari waliyokuwemo Bukuku na wenzake.
Bahati Bukuku akiwa kwenye hospitali ya Wilaya ya Kongwa.

Taarifa za kusikitisha ambazo GK imepata na kuzithibitisha asubuhi hii ni kuhusu kutokea kwa ajali ya gari iliyomhusisha muimbaji nyota nchini, Bahati Bukuku maeneo ya Kongwa, Dodoma baina ya gari lake na Lori, usiku wa kuamkia leo majira ya saa nane usiku, wakielekea jijini Kahama, kwenye huduma.

Taarifa za awali zinaeleza kwamba Bahati amelazwa hospitali ya Kongwa baada ya kuumia mgongo. Dereva wake aliyetambulika kwa jina moja la Eddy, ameripotiwa kuumia miguu, huku wasindikizaji wawili wa Bahati awapo jukwaani, wameumia, mmoja kichwani, na mmoja akisalimika kidogo kiasi cha kubaki eneo la ajali na gari wakati majeruhi wakipelekwa hospitalini. GK ilipomtafuta Bahati, alipatikana lakini akaongea kwa shida kwamba hali yao si nzuri kiasi cha kushindwa kuongea vema, na kuomba mawasiliano yafanyike baadaye.

Kwa hivi sasa ndugu na marafiki wanaelekea Dodoma kwa ajili ya kufaulisha kuwahamisha majeruhi kwenye hospitali ya Muhimbili. Endelea kufuatilia Gospel Kitaa nasi tutakufahamisha zaidi, ila cha muhimu kuliko yote ni kufanya maombi kwa ajili ya mtumishi huyu wa Mungu ili aendelee kufanya kazi aliyoagizwa hapa duniani - dunia isiyokuwa na huruma.

Si mara ya kwanza kuripotiwa kwa ajali za magari kutka mkoani Dodoma, kwani mwezi wa tano mwaka huu, muimbaji Edson Mwasabwite alipata ajali akielekea Morogoro kutokea Dodoma, na mnamo mwezi wa nne, mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama, naye alipata ajali mkoani humohumo.

Hussein Machozi akamatwa akizini na mke wa mwanasiasa maarufu Mombasa!

Lundo la vyombo vya habari nchini Kenya limeandika habari kuwa hitmaker wa ‘Kwaajili Yako’, Hussein Machozi amekamatwa akizini na mke wa mwanasiasa maarufu mjini Mombasa, Kenya.Habari za kukamatwa akiwa na mwanamke huyo zimeenea kwa kasi nchini humo. Gazeti la The Star limedai kuwa Hussein alikuwa na uhusiano wa siri na wa muda mrefu na mwanamke huyo na mume wake alikuwa ameshtuka tayari na hivyo kuwawekea mtego. Limedai kuwa wawili hao walikuwa wanachepuka kiasi cha kupanga kununua nyumba ya pamoja. Vyanzo vilivyoongea na gazeti hilo vimedai kuwa mwanasiasa huyo huwa husafiri mara nyingi na hivyo kumpa upenyo mke wake kusaliti ndoa yake.

Blog moja ya Mombasa imeandika:

Msanii Hussein Machozi Apokea Kichapo Cha Mbwa Na Kupewa Masaa 24 Kuondoka Hapa Nchini Kenya
Msanii huyu mashuhuri wa bongo flavor leo hii katika hoteli flani ya kitalii hapa jijini Mombasa alijipata matatani baada ya kupatikana akiwa na mke wa kiongozi flani mashuhuri wa hapa nchini. Yasemekana mheshimiwa huyu amekua akimkulia timing Machozi bila mafanikio lakini leo siku arobaini zilitimia kwake msanii huyu mkosa adabu. Msanii huyu alipatikana red handed na mke wa kiongozi huyo kwa kitanda na hapo ndipo masaibu yakamkumba na kuamrishwa aondoke hapa nchini kwa masaa aliopewa.

Hii ni habari nzima ya gazeti la The Star:

Tanzania bongo artiste Hussein Machozi was caught pants down with the wife of a prominent Mombasa businessmen and beaten thoroughly. Hussein who is nursing injuries was at the coast to shoot a music video when he hooked up with the said wife.

According to multiple sources who requested anonymity, the singer has been in an alleged long standing secret affair with the married woman and they were planning on buying a house together.
To keep the affair alive, the two love birds shuffled between Dar es Salaam and Mombasa.

Our source told Word Is, “The married woman’s husband is a very busy man. His time is occupied by his numerous business ventures and politics. He started suspecting the wife is stepping out on him when he found funny texts on his wife’s WhatsApp. He then laid a trap for the two of them.”

The Tanzanian heartthrob fell into the trap and was caught with his hands in the cookie jar. Security teams on the ground tried to contain the fiasco as the husband of the wife rained blows on the star.

His closest friend Stephen Yaa famously known as Notystee – a Mombasa based promoter – was with the Hussein when he arrived in in Mombasa on Wednesday. Notystee confirmed to Word Is that the incident did happen and that the bongo act called him up saying that he was in trouble.
“I was shocked when I received a call from Hussein saying that he was in trouble. He had earlier told me that he was going to meet a certain lady whom he was in love with, but I didn’t knew what was going to happen,” Notystee said.
Commenting on the altercation, Hussein told Word Is, “I will get back (to Mombasa) when am well. I’m in great pain. I never knew that the lady belonged to a powerful man at the coast.” The star famed for singles like Kafia Ghetto and Addicted is currently hiding at one of the houses belonging to a prominent Tanzanian tycoon who lives in Nyali.

Picha: Si Baba Malcom tu, Nikki Mbishi sasa ni Baba Nathan pia!!


Nikki akiwa na mwanae, Nathan

Rapper huyo ana amepata mtoto mwingine wa kiume aitwaye Nathan. Tayari rapper huyo ana mtoto mwingine wa kiume aitwaye Malcom.
Mama Nathan ameandika: Together God gave us Nathan!! yes he is his father no more questions!! Have a good day people

Dully Sykes: Nina miaka miwili sijawahi kupigiwa simu na promota kwaajili ya show (Audio)

Dully Sykes anasema imepita miaka miwili sasa hajawahi kupigiwa simu na promota yeyote nchini kwaajili ya kufanya show.“Sijaitwa na promota miaka miwili sasa hivi, sijawahi kupigiwa simu na promota kwaajili ya show,” Dully alimuambia DJ Majay wa EFM jana.

Hata hivyo amesema kukosa show hizo ni kwasababu hajajiweka ‘cheap’. “Sababu sina shida ya kusema nimkubalie promota kwa milioni moja, milioni moja na laki tano anipeleke Mwanza wakati milioni mbili nikitaka wiki moja tu naipata kwenye kazi yangu,” alisema Dully ambaye wiki hii ameachia wimbo mpya, Togola.

Dully alisema show yake ya kwanza aliyoipata na kulipwa fedha nyingi ni ile aliyolipwa shilingi 50,000 na kudai kuwa kipindi anaanza muziki alikuwa akilipwa shilingi 15,000 au 10,000 kwa show za mikoani. Amesema fedha kubwa aliyowahi kulipwa katika career yake kwa show moja ni shilingi milioni nane.

Suma Mnazaleti azungumzia wimbo wake mpya akiwa na Roma,’Mnazaleti Mkatoliki’


Suma amesema wimbo unazungumzia changamoto mbalimbali zinazowakumba wasanii wa Bongo.

“Wakati tunaandika huu wimbo tumeangalia matatizo yaliyopo kwenye hili game, game imekuwa ina kasumba, hakuna show, kun awatu ambao wanapewa show pekee, wengine hawapewi, wanaopewa unakuta hawana Hata hits. Kwahiyo ni full ubaguzi. Kuna wasanii hawakosi show hata kama hawana hits, tumezungumzia vitu kama hivyo. Kwahiyo Roma aliandika anachokifiria yeye na mimi nikaandika ninachokifikiria mimi, ni full hip hop hata mimi nirudi kwenye Hip Hop baada ya kuimba kwa muda mrefu. Mashabiki wasubirie vitu vikali ndani ya weekend hii,” amesema.

Filamu nyingine iliyoingia sokoni ni Wrong Hope iliyochezwa na Blandina Chagula maarufu kama Johari.

“Siwezi kuwa mimi bila nyinyi wrong hope hope ni movie mpya kutoka rj company na ni movie ya mwisho aliyoshiriki kipenzi chetu ambaye hatuko naye tena Recho Saguda,” ameandika Johari.

Bongo Movies: Majuto, Hemedy, Johari watoa filamu mpya (Picha)

Nao Mzee Majuto na Hemedy wameachia filamu yao Kimbulu iliyofanyika jijini Mwanza.

“Sio kila unayemkuta kijijini ni mshamba wengine wanajua na wanaweza kuliko wewe. Mzee Mbunda na wajukuu zake jembe na edo madirector kutoka mjini wanaingia kijijini na kuwa na maisha ya KIMBULU. yaan paka lililoshindikana ila wanakwaa visiki baada ya kukutana na wanakijiji wanaojua zaidi yao,” yanasomeka maelezo ya filamu hiyo.Filamu nyingine iliyoingia sokoni ni Wrong Hope iliyochezwa na Blandina Chagula maarufu kama Johari.




TESO BOY-JALA MIJELI(OFFICIAL VIDEO)

Tazama video mpya kutoka kwa Teso Boy iitwayo Jala Mijeli,audio
imetayarishwa na Naroh Stress kutoka Rash Record na video imeongonzwa na
Pizzo Mtena kutoka Skillz Vide...

Darassa Ft Osman-Sio Mbaya(Officia Music Video)

Barnaba - Wahalade ( Official Video )

Cossi - Mwingine.(Official Video)

Eric - Maisha Safari.(Official Video)

Nemo ft Ben Paul & Godzilla_-Nisamehe(NEW AUDIO)

Ali_Kiba_-_Mwana(NEW AUDIO)

   Baada ya wapenzi wa muziki Tanzania kusubiri kwa muda mrefu sasa wamepata nafasi ya kujiburudisha na ngoma mpya kutoka kwa Alikiba. Tarehe 25 Julai, 2014 Alikiba ameachia single mbili mpya kwa wakati...
 
  

Sina rambo Ft Davido-Wabamilo(Official Video)

Baucha-Champo(Official Kiumbe Video)

Pharrell Williams - Come Get It Bae(OFFICIAL VIDEO)

Sgizzy_-_My_Dream(NEW AUDIO)

Country_Boy_ft_Mr_Blue_-_Mchaka_Mchaka(NEW AUDIO)

Country Boy ameachia ngoma yake mpya iitwayo Mchaka Mchaka akimshirikisha Mr Blue,Mtayarishaji ni Mesen Selekta kutoka Defatality Music.Isikilize na Download h...
Read more ...

MAVINS - DOROBUCCI ft Don Jazzy, Tiwa Savage, Dr SID, D'Prince, Reekado(Official Video)...

Enjoy the offcial video for Mavin Records Hit single Dorobucci featuring Don Jazzy, Tiwa Savage, Dr SID, D'Prince, Reekado Banks, Korede Bello, Di'Ja. Directed by Nick Molotov and shot on location...

Skylight Band-Pasua Twende(Official Video)

Skylight Band wameachia video ya ngoma yao mpya iitwayo 'Pasua Twende' imefanyika kwenye studio zao za Skylight Production .Itazame hapa