Young Killer aanza kushoot video ya ‘Umebadilika’ na director Hefemi

Ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja toka wimbo wa ‘Umebadilika wa Young Killer Msodoki ulipoachiwa July 22, rapper huyo kutoka jiji la miamba (Rock City) Mwanza ameanza kushoot video ya wimbo huo aliomshirikisha Banana Zorro.

Dully Sykes atoa ushauri muhimu kwa Diamond na Alikiba

Msanii wa longtime kwenye familia ya Bongo Flava ambaye hujiita muasisi wa muziki huo, Dully Sykes amewataka Diamond na Alikiba kuweka tofauti zao na kufanya kazi pamoja.Alisema.......

Anapita ft Barnaba_-Garasa[NEW AUDIO]

Bibi Cheka_-Nalia[NEW AUDIO]

Dabo_-I Love[NEW AUDIO]

Branaba ft Ramar_-Am Sorry Refex

Diamond Platinumz Anatarajia Kuachia Wimbo Mpya Ambao Unakwenada Kwa Jina"NITAMPATA WAPI"Nisheedaaa!

DIAMOND PLATINUMZ"NITAMPATA WAPI"

Rich Mavocco_-Ongea Nae[NEW AUDIO]

DOWNLOAD HAPA KICHUPA KIPYA KUTOKA KWA RICH MAVOKO ONGEA NAE

Snura_-Jidabue[NEW AUDIO]

Timbulo_-Nakumiss Miss[NEW AUDIO]

P-Square - Shekini(NEW AUDIO)

PSquare ft.T.I. - Ejeajo[Official Video]

Msimu mpya wa Big Brother Africa 2014 unaotarajiwa kuanza Septemba 7 utaitwa ‘Hot Shots’


P-Square kuachia nyimbo tatu kwa mpigo, moja ina video yake

Kundi la P-Square saa chache zijazo linatarajia kutikisa medani ya muziki barani Afrika na kwingineko duniani kwa kuachia nyimbo tatu kwa mpigo huku moja ikiwa na video yake.Ngoma ambayo itatoka na video inaitwa ‘Ejeajo’ waliyomshirikisha rapper wa Marekani, T.I. Video ya wimbo huo ilifanyika Marekani.Ngoma ya pili inaitwa ‘Shekini’ na ya tatu ni ‘Bring It On’ waliyomshirikisha Dave Scott.Nyimbo hizo zipo kwenye album yao ya sita itakayotoka mwaka huu.

‘Mtoto wa Mama’ ya Zachaa f/ Diamond & Godzilla kutoka Jumatatu

Producer anayefahamika kwa kutayarisha hits kama ‘Kesho’ ya Diamond na ‘Pombe Yangu’ ya Madee, Zachaa anatarajia kuachia wimbo wake ‘Mtoto wa Mama’ aliowashirikisha Diamond na Godzilla, Jumatatu ijayo.“Ni Ngoma ya kwanza kuiachia kutoka kwenye album yangu ya kwanza kama Zachaa itakayotambulika kwa jina la ‘Mtoto wa Mama’ so hiyo ngoma imebeba jina la Album (Mtoto wa Mama).  Album itakuwa na ngoma 10 na itakuwa sokoni mwezi wa 12  mwaka huu 2014. Lakini hii ngoma itakuwa hewani Jumatatu ya wiki ijayo,” amesema.

Nay Wa Mitego - Mr Nay(Official Video)

Tazama Hapa video mpya ya nay wa mitego"MR NAY"iliongozwa na(KEVIN BOSCO WA DECENT NCHINI KENYA)

Diamond atajwa kuwania tuzo za IRAWMA, Marekani kupitia ‘Mdogo mdogo’, anachuana na Davido, Awilo Longomba na Bracket


Murder ft.Jordan--Chaba(Official Music Video)

One Six - Maya (Official video)

Samir ft Nay Wamitego_-Nitamchezea(NEW AUDIO)@Paulmkale.com

Mkubwa Na Wanawe[Amir&Aslay] - Nikupeti Peti(NEW AUDIO)



Mkubwa na wanawe wanatambulisha msanii kutoka kituoni kwao anakwenda kwa jina la Amili Mili na wimbo wake unakwenda kwa jina la NIKUPETI PETI,Umetayarishwa na Shirko. Tayari huu wimbo upohttps://mkito.com/song/nikupeti-peti/2435

Bob Junior - Bolingo(Official Video)

TAZAMA HAPA VIDEO MPYA (BOLINGO)KUTOKA KWA BOB JUNIOR RAIS WA MASHAROBARO

This is how Diamond was Welcomed in Tanzania ,from Afrimma Awards-2014{NISHEEDAA}

DIAMOND PLATINUMZ

NI KIPI UNAJIFUNZA KWENYE MDOGOMDOGO VIDEO?(WHAT MESSAGE DO YOU GET FROM MDOGOMDOGO VIDEO?)?BOFYA HAPA KUISIKILIZA.......

DIAMOND PLATINUMZ-MDOGO MDOGO

Saraha - Shemeji (Official Video)


CYRILL KAMIKAZE-ALOWA(OFFICIAL VIDEO)

Add caption

Mirror aahidi ‘bonge la surprise kwa mashabiki wake August 30

Mkali wa ‘Baby’ ambaye hivi karibuni aliachia ngoma mpya ‘Kolokolo’, Mirror amewataka mashibiki wake wakae tayari kwa video ya wimbo huo.

Tazama Photo Nuh Mziwanda Na Shilole(SHISHI BABY) Walivokinukisha Kwenye Show Ya"TURN DOWN FOR WHAT"

Jaguar - One Centimeter (Official Video)

Usher - Believe Me{NEW AUDIO}

BOLAJI - ALL OF ME COVER(OFFICIAL VIDEO)

Teyana Taylor -ft. Pusha T, Yo Gotti -Maybe (OFFICIAL VIDEO)

Young Jeezy ft. Future - No Tears(Official Video)

Jessie J, Ariana Grande, Nicki Minaj - Bang Bang (Official Video)

Jasmine V ft. Kendrick Lamar - That’s Me Right There(Official Video)

BEN POL-TWAENDANA(NEW AUDIO)