Hii ni video mpya ya Msanii wa filamu Tanzania 'Flora Mvungi' a.k.a H Mama akimshirikisha H Baba inaitwa Kidogo. Video imefanywa na Kwetu Studios na audio ni C9.Itazame hapa |
Flora Mvungi Feat. H-Baba - Kidogo{Official Video}
Young Killer aanza kushoot video ya ‘Umebadilika’ na director Hefemi
Ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja toka wimbo wa ‘Umebadilika wa Young Killer Msodoki ulipoachiwa July 22, rapper huyo kutoka jiji la miamba (Rock City) Mwanza ameanza kushoot video ya wimbo huo aliomshirikisha Banana Zorro.
Dully Sykes atoa ushauri muhimu kwa Diamond na Alikiba
Msanii wa longtime kwenye familia ya Bongo Flava ambaye hujiita muasisi wa muziki huo, Dully Sykes amewataka Diamond na Alikiba kuweka tofauti zao na kufanya kazi pamoja.Alisema.......
P-Square kuachia nyimbo tatu kwa mpigo, moja ina video yake
Kundi la P-Square saa chache zijazo linatarajia kutikisa medani ya muziki barani Afrika na kwingineko duniani kwa kuachia nyimbo tatu kwa mpigo huku moja ikiwa na video yake.Ngoma ambayo itatoka na video inaitwa ‘Ejeajo’ waliyomshirikisha rapper wa Marekani, T.I. Video ya wimbo huo ilifanyika Marekani.Ngoma ya pili inaitwa ‘Shekini’ na ya tatu ni ‘Bring It On’ waliyomshirikisha Dave Scott.Nyimbo hizo zipo kwenye album yao ya sita itakayotoka mwaka huu.
‘Mtoto wa Mama’ ya Zachaa f/ Diamond & Godzilla kutoka Jumatatu
Producer anayefahamika kwa kutayarisha hits kama ‘Kesho’ ya Diamond na ‘Pombe Yangu’ ya Madee, Zachaa anatarajia kuachia wimbo wake ‘Mtoto wa Mama’ aliowashirikisha Diamond na Godzilla, Jumatatu ijayo.“Ni Ngoma ya kwanza kuiachia kutoka kwenye album yangu ya kwanza kama Zachaa itakayotambulika kwa jina la ‘Mtoto wa Mama’ so hiyo ngoma imebeba jina la Album (Mtoto wa Mama). Album itakuwa na ngoma 10 na itakuwa sokoni mwezi wa 12 mwaka huu 2014. Lakini hii ngoma itakuwa hewani Jumatatu ya wiki ijayo,” amesema.
Mkubwa Na Wanawe[Amir&Aslay] - Nikupeti Peti(NEW AUDIO)
Mkubwa na wanawe wanatambulisha msanii kutoka kituoni kwao anakwenda kwa jina la Amili Mili na wimbo wake unakwenda kwa jina la NIKUPETI PETI,Umetayarishwa na Shirko. Tayari huu wimbo upohttps://mkito.com/song/nikupeti-peti/2435
Mirror aahidi ‘bonge la surprise kwa mashabiki wake August 30
Mkali wa ‘Baby’ ambaye hivi karibuni aliachia ngoma mpya ‘Kolokolo’,
Mirror amewataka mashibiki wake wakae tayari kwa video ya wimbo huo.
Subscribe to:
Posts (Atom)