SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA NYIMBO MPYA YA BELL 9 AKIWA NA JOH MAKINI NGOMA IANAITWA"VITAMIN MUSIC"
Kaa Tayari Sheta Kuja Na"SHIKOLOBO"Aliomshlikisha Msanii Wa Nigeria
Soma Rich Mavoko Alivyokataa Kushoot Video Na Mnyama Cheetah Kwenye Wimbo Wake Mpya"Pacha Wangu"
Mavoko amesema kuwa awali aligoma kabisa. “Haikuwa rahisi
aisee,”Nakumbuka wakati tumefika pale, hali
ilibadilika ghafla cause plan ilikuwa ni kwamba cheetah apigwe shot za
peke yake akiwa anatembea, lakini Adam akabadilisha script, akasema
MLAPA NG’OSHA-KALALE PEMA(OFFICIAL VIDEO)
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi, Gabriel Samalu
Ng’osha ‘Mlapa Ng’osha' ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la
'Kalale Pema' aliyoelezea maisha ya mateso anayopata mama mjamzito.
Video
Ng’osha ‘Mlapa Ng’osha' ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la
'Kalale Pema' aliyoelezea maisha ya mateso anayopata mama mjamzito.
Video
Taarifa Za Kusikitisha Msanii Mwingine Wa Bongo Fleva Kufariki Dunia.
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa msanii chipukizi
kwenye muziki wa Bongo fleva Side Boy Amefariki dunia.
Akizungumza na Lindiyetu.com mdogo wa marehemu Ally khamisi amesema
Joslin ft Stopa Wa Rymes-Tesa Naye(Official Video)
Msanii Joslin akishirikisha na Stopa Rhymes ameachia video mpya wa wimbo
wake ‘Tesa Naye’ iliyoongozwa na Numark Production.
wake ‘Tesa Naye’ iliyoongozwa na Numark Production.
Izzo Bizness - Walalahoi(Official Music Video)
Izzo Bizness ameachia rasmi video ya wimbo wake ‘Walalahoi’ iliyoongozwa na
director Nick Dizzo. Izzo alisema video hiyo imemgharimu shilingi M 1.4 tu
hadi kukamilika kwake, ikiwa ni pamoja na pesa aliyomlipa director. Itazame
hapa
director Nick Dizzo. Izzo alisema video hiyo imemgharimu shilingi M 1.4 tu
hadi kukamilika kwake, ikiwa ni pamoja na pesa aliyomlipa director. Itazame
hapa
Masanja Mkandamizaji Amzidi Utajiri Diamond Platnums
NISHEEDAH Fiesta Mbeya
Full Shangwe Kwa Wakazi Wa Mbeya Wasanii wa Serengeti Fiesta watinga Radio za Mbeya na kuhaidi makamuzi
Wasanii wanaotarajiwa kufanya makamuzi usiku wa leo kwenye Tamasha la
Serengeti Fiesta 2014, ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya mapema leo
walipata nafasi ya kutembelea radio za mkoa huo ambazo ni Mbeya Fm,
Bomba Fm na Generation Fm.
B.o.b & Micharazo-True Story(Official Music Video)
Huu umekuwa mwaka tofauti kwenye kundi la B.O.B Na Micharazo baada ya
kutoa kazi nyingi na video zenye ubora zaidi. Hii Video yao Mpya Ya
B.O.B & Micharazo-True Story, Yupo Mr Blue,Hamidu Na Msanii Wao
Kutoka Marekani.
kutoa kazi nyingi na video zenye ubora zaidi. Hii Video yao Mpya Ya
B.O.B & Micharazo-True Story, Yupo Mr Blue,Hamidu Na Msanii Wao
Kutoka Marekani.
Mac ft Ange Tainer & Dark Master - Mtaona(Official Video)
Music perfomed by Mac ft Ange Tainer & Dark Master Produced by Lusungu under Bantu Music...Video directed by Nicklass Mbagger from iMAGE NATION
Bob Haisa -Lamsondo(Official Music Video)
Video mpya ya wimbo wa "Lamsondo" kutoka kwa Bob Haisa hii hapa imeongozwa
na Dir. Kenny Ukiyz kutoka Peace Film Production na audio imetayarishwa na
King Fenya kutoka Mbunda Records.
Tazama Hapa
na Dir. Kenny Ukiyz kutoka Peace Film Production na audio imetayarishwa na
King Fenya kutoka Mbunda Records.
Tazama Hapa
Navy Kenzo-I Just Wanna Love You(Official Video)
Kundi la Navy Kenzo akiwemo producer Nahreel pamoja na Aika wametoa video
ya wimbo wao wa kwanza kutoka kwenye album yao mpya iitwayo NIROGE,wimbo
unaitwa I Just Wanna Love You.
Tazama Hapa
ya wimbo wao wa kwanza kutoka kwenye album yao mpya iitwayo NIROGE,wimbo
unaitwa I Just Wanna Love You.
Tazama Hapa
Navy Kenzo_-I Just Wanna Love You[NEW AUDIO]
Kaa Tayari;Belle 9 kuja na ‘Vitamin Music’ aliyomshirikisha Joh Makini
Belle 9 anatarajia kuwaongeza binadamu Vitamin muhimu mwilini, Vitamin
Music. Muimbaji huyo kutoka Morogoro ameiambia Blog Hii kuwa amemshirikisha
Joh Makini kwenye
Rich Mavoko-Pacha wangu(Official Music Video)
Hatimaye Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Pacha Wangu’
iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu. Video imefanyika jijini Cape Town, Afrika
Kusini na kuongozwa na director Adam Juma wa Visual Lab:Next Level. Itazame Hapa
iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu. Video imefanyika jijini Cape Town, Afrika
Kusini na kuongozwa na director Adam Juma wa Visual Lab:Next Level. Itazame Hapa
Diamond Platnumz kushirikiana na Mziiki
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinumz
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza
ushirikiano wake na kampuni inayoendesha programu ya Mziiki.Kulia ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Spice VAS Africa wanaoendesha programu
hiyo ya
Diamond Platnumz - Ngololo Dance by AFLI Swahili Studentsond(VIDEO)
This is an extract from the skit by the same students. To watch the whole skit (film), go to: Bofya link hii kutazama;https://www.youtube.com
Diamond Platnumz-My Number One In Gainesville, Florida(VIDEO)
These are Elementary Swahili students who participated in the 2014
African Language Initiative (AFLI) Program, at the University of
Florida. Having studied Swahili for about six weeks, they decided to
African Language Initiative (AFLI) Program, at the University of
Florida. Having studied Swahili for about six weeks, they decided to
DIAMOND PLATINUMZ AZIDI KUPAA..APATA MCHONGO MPYA WA APPLICATION YA SIMU
Ingawa
hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake
wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambayo imebeba maandishi
yasemayo ‘Ningependa kukutaarifu shabiki wangu pendwa kuwa kijana wako
sasa ni balozi wa
Diamond Platnumz Kuachia Nyimbo 2 Mpya Kwa Mpigo Zilizotengenezwa Nje Ya Nchi.
Superstar wa music wa Bongofleva, Tanzania Diamond Platnumz ananga
kuachia nyimbo nyingine mbili kwa mpigo baada ya kuachia Mdogo mdogo
ambayo bado inatamba kwasasa huku akikimbiza katika nominations za tuzo
mbalimbali za
Iyanya - Mr Oreo [Official Music Video]
After weeks of anticipation and intense expectation, Triple MG frontline
artiste, Iyanya, releases the video to his banging hit track “Mr Oreo”.
One of the tracks off the Triple MG album, “Mr Oreo” was produced by
artiste, Iyanya, releases the video to his banging hit track “Mr Oreo”.
One of the tracks off the Triple MG album, “Mr Oreo” was produced by
Sis P ft Nick Mumba-Msupa (Official Video)
"Msupa", Swahili slang for "Beautiful". Performed by Sis P & Nick
Mumba. African House beat with smooth RnB vocals. Audio Produced by
Rabizzle, Recorded at Half Note Records. Video Produced and Directed by
Doctord Pictures.
Mumba. African House beat with smooth RnB vocals. Audio Produced by
Rabizzle, Recorded at Half Note Records. Video Produced and Directed by
Doctord Pictures.
Kaa Tayari Rich Mavoko kuachia video mpya ‘Pacha Wangu’ wiki hii(NISHEEDAH)
Moja kati ya wasanii wakali wa Bongo Flava, Rich Mavoko amatease video yake mpya anayotarajia kuiachia hivi karibuni ya wimbo wake ‘Pacha Wangu’. Mavoko aliyekuwa kimya kwa muda kidogo amesema mashabiki wake na watu wengine wote wakae mkao wa kula kupokea kitu kipya na Bofya Hapa Kwa Taarifa Zaidi...(twitter;@paulmkale)fb;paul e kilas
Davido kushoot video mbili kwa mpigo wiki hii Marekani
Baada ya mastar wa Nigeria P-Square, Wizkid na Iyanya kuachia video zao
mpya ambazo wote wameshoot Marekani hivi karibuni, hit maker wa ‘Aye’,
Davido naye anatarajia kushoot video mbili kwa
Subscribe to:
Posts (Atom)