Bell 9 Ft Joh Makini_-Vitamin Music[NEW AUDIO]

SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA NYIMBO MPYA YA BELL 9 AKIWA NA JOH MAKINI NGOMA IANAITWA"VITAMIN MUSIC"

Mic Lon ft Gosby & Wakazi - Just Pretend(Official Video)

TAZAMA HAPA VIDEO MPYA KUTOKA KWA MIC LOAN AKIWA NAGosby & Wakazi NGOMA"JUST PRETEND"

Kaa Tayari Sheta Kuja Na"SHIKOLOBO"Aliomshlikisha Msanii Wa Nigeria

SHETA THE DON
Rapper Shetta amedai kuwa anatarajia kuachia wimbo mpya uitwao ‘Shikolobo’ aliomshirikisha msanii wa Nigeria.
Akizungumza na Global TV, Shetta amesema wimbo huo upo tayari na

Soma Rich Mavoko Alivyokataa Kushoot Video Na Mnyama Cheetah Kwenye Wimbo Wake Mpya"Pacha Wangu"

Mavoko amesema kuwa awali aligoma kabisa. “Haikuwa rahisi aisee,”Nakumbuka wakati tumefika pale, hali ilibadilika ghafla cause plan ilikuwa ni kwamba cheetah apigwe shot za peke yake akiwa anatembea, lakini Adam akabadilisha script, akasema

MLAPA NG’OSHA-KALALE PEMA(OFFICIAL VIDEO)

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi, Gabriel Samalu
Ng’osha ‘Mlapa Ng’osha' ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la
'Kalale Pema' aliyoelezea maisha ya mateso anayopata mama mjamzito.
Video

Taarifa Za Kusikitisha Msanii Mwingine Wa Bongo Fleva Kufariki Dunia.

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa msanii chipukizi kwenye muziki wa Bongo fleva Side Boy Amefariki dunia. Akizungumza na Lindiyetu.com mdogo wa marehemu Ally khamisi amesema

Kona Show With Sheby Love(Video)

TAZAMA HAPA KONA SHOW WITH SHABY LOVE

Joslin ft Stopa Wa Rymes-Tesa Naye(Official Video)

Msanii Joslin akishirikisha na Stopa Rhymes ameachia video mpya wa wimbo
wake ‘Tesa Naye’ iliyoongozwa na Numark Production.

MO MUSIC ASEMA MIPANGO MIZURI IMEFANYA BASI NENDA KUWA KUBWA

Hitmaker wa 'Basi Nenda' MO MUSIC amesema mipango mizuri aliyokuwa nayo toka awali ndio imeifanya ngoma yake kuwa kubwa na kutochokwa mapema na mashabiki wa

Malaika_-Nenda[NEW AUDIO]@Paulmkale

SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA NYIMBO MPYA YA MALAIKA"NENDA"

Izzo Bizness - Walalahoi(Official Music Video)

Izzo Bizness ameachia rasmi video ya wimbo wake ‘Walalahoi’ iliyoongozwa na
director Nick Dizzo. Izzo alisema video hiyo imemgharimu shilingi M 1.4 tu
hadi kukamilika kwake, ikiwa ni pamoja na pesa aliyomlipa director. Itazame
hapa

Masanja Mkandamizaji Amzidi Utajiri Diamond Platnums

Wadau, Hii kitu nimeisikia Clouds FM kwenye kipindi cha Gospel Trucks na Harris Kapiga! Naomba kufahamu zaidi huyu mpendwa uwekezaji wake unakua kiasi gani na anatumia mbinu zipi kukuza kipato chake ili vijana tujifunze kutoka kwa

Zawadi Ya Birthday Aliyopewa Wema Sepetu Kutoka Kwa Diamond Platnumz.

Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako

NISHEEDAH Fiesta Mbeya

na paulmkale

Baadhi ya mashabiki wa mziki wakiwa kwenye foleni ya kuingia ndani ya uwanja wa Sokoine kusheherekea tamasha la

Full Shangwe Kwa Wakazi Wa Mbeya Wasanii wa Serengeti Fiesta watinga Radio za Mbeya na kuhaidi makamuzi

Wasanii wanaotarajiwa kufanya makamuzi usiku wa leo kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya mapema leo walipata nafasi ya kutembelea radio za mkoa huo ambazo ni Mbeya Fm, Bomba Fm na Generation Fm.

LIVE MUDA HUU: HAPATOSHI SERENGETI FIESTA NDANI YA UWANJA WA SOKOINE JIJINI MBEYA MUDA HUU

                                                               ni sheedah ndani ya mbeya

B.o.b & Micharazo-True Story(Official Music Video)

Huu umekuwa mwaka tofauti kwenye kundi la B.O.B Na Micharazo baada ya
kutoa kazi nyingi na video zenye ubora zaidi. Hii Video yao Mpya Ya
B.O.B & Micharazo-True Story, Yupo Mr Blue,Hamidu Na Msanii Wao
Kutoka Marekani.

Shaa Ft TSpize - Sugua Gaga[Audio Remix]

SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA REMIX YA SHAA"SUGUA GAGA"AKIWA NA MSANII TSPIZE KUTOKA NIGERIA

Dexta ft Mo Music - Vaa Tutoke[NEW AUDIO]

SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA WIMBO MPYA WA DEXTA ALIOMSHIRIKISHA MO MUSIC(VAA TUTOKE)

Tanzanite_-Wimbo Wa Lulu[NEW AUDIO]

SIKLIZA NA DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA TAZANITE "WIMBO WA LULU"

Flora Mbasha_-Lombaga[NEW AUDIO]

MWIMBAJI WA INJILI FLORA MBASHA AMEACHIA WIMBO MPYA USIKILIZE NA DAWNLOAD HAPA

Lamar Ft. Yamoto Band – Nitajuta[Audio Refix]

Mac ft Ange Tainer & Dark Master - Mtaona(Official Video)

Music perfomed by Mac ft Ange Tainer & Dark Master Produced by Lusungu under Bantu Music...Video directed by Nicklass Mbagger from iMAGE NATION

Bob Haisa -Lamsondo(Official Music Video)

Video mpya ya wimbo wa "Lamsondo" kutoka kwa Bob Haisa hii hapa imeongozwa
na Dir. Kenny Ukiyz kutoka Peace Film Production na audio imetayarishwa na
King Fenya kutoka Mbunda Records.
Tazama Hapa

Navy Kenzo-I Just Wanna Love You(Official Video)

Kundi la Navy Kenzo akiwemo producer Nahreel pamoja na Aika wametoa video
ya wimbo wao wa kwanza kutoka kwenye album yao mpya iitwayo NIROGE,wimbo
unaitwa I Just Wanna Love You.
Tazama Hapa

Navy Kenzo_-I Just Wanna Love You[NEW AUDIO]

Kundi la Navy Kenzo akiwemo producer Nahreel pamoja na Aika wametoa wimbo wao wa kwanza kutoka kwenye album yao mpya iitwayo NIROGE. Navy Kenzo waliingia kwa nguvu kubwa wakiwa na style ya tofauti kabisa kwenye vibao kama CHELEWA na ONE DOLLAR ONE DAY na sasa wanakuletea album nzima! Producer Nahreel amefanya kazi na wasanii wakubwa na kutoa vibao kama HAWAJUI ya Vanessa Mdee na GERE ya Weusi. Pia amefanya kazi na wasanii wengi wakubwa wakiwemo Joh Makini, Nikki wa Pili, Izzo Biznes, Pah One, G nako, Nakaaya na Roma. I JUST WANNA LOVE YOU inatoka rasmi leo 26/09/2014

Ben Pol_-Stay With Me[NEW AUDIO]

Kaa Tayari;Belle 9 kuja na ‘Vitamin Music’ aliyomshirikisha Joh Makini

Belle 9 anatarajia kuwaongeza binadamu Vitamin muhimu mwilini, Vitamin Music. Muimbaji huyo kutoka Morogoro ameiambia Blog Hii kuwa amemshirikisha Joh Makini kwenye

Makamua, ft T Nock and Solace-Sparrow(Official Video)

K-Sher ft Mwana Fa_-Sikuhitaji[NEW AUDIO]

Rich Mavocco_-Pacha Wangu[NEW AUDIO]@Paulmkale

SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA NYIMBO MPYA YA RICH MAVOKO"PACHA WANGU"Prod_Mazuu_Record

Amini ft Barnaba & Joh Makini_-Subi[NEW AUDIO]

Rich Mavoko-Pacha wangu(Official Music Video)

Hatimaye Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Pacha Wangu’
iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu. Video imefanyika jijini Cape Town, Afrika
Kusini na kuongozwa na director Adam Juma wa Visual Lab:Next Level. Itazame Hapa

Babuu_Wa_Kitaa ft Country_Boy_-Kigangster Kisharobaro[NEW AUDIO]

Diamond Platnumz kushirikiana na Mziiki

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinumz akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza ushirikiano wake na kampuni inayoendesha programu ya Mziiki.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Spice VAS Africa wanaoendesha programu hiyo ya

Rich Mavoko-Pacha Wangu(Video Teaser)

Tazama kionjo cha video mpya ya Rich Mavoko ya wimbo wake ‘Pacha Wangu’
iliyoongozwa na Adam Juma.

Diamond Platnumz - Ngololo Dance by AFLI Swahili Studentsond(VIDEO)

This is an extract from the skit by the same students. To watch the whole skit (film), go to: Bofya link hii kutazama;https://www.youtube.com

Diamond Platnumz-My Number One In Gainesville, Florida(VIDEO)

These are Elementary Swahili students who participated in the 2014
African Language Initiative (AFLI) Program, at the University of
Florida. Having studied Swahili for about six weeks, they decided to

DIAMOND PLATINUMZ AZIDI KUPAA..APATA MCHONGO MPYA WA APPLICATION YA SIMU

Ingawa hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambayo imebeba maandishi yasemayo ‘Ningependa kukutaarifu shabiki wangu pendwa kuwa kijana wako sasa ni balozi wa

Mkubwa Na Wanawe_-Msamaha[NEW AUDIO]

Mkubwa Na Wanawe_-Bora Kijijini[NEW AUDIO]

Wizkid - In My Bed (Official Music Video)

Official Music Video for Wizkid's "In My Bed" Taken from the sophomore album "AYO" Available now on

Eng Carlos Mkundi- Wewe Ni Mungu(Official Video)

Diamond Platnumz Kuachia Nyimbo 2 Mpya Kwa Mpigo Zilizotengenezwa Nje Ya Nchi.

Superstar wa music wa Bongofleva, Tanzania Diamond Platnumz ananga kuachia nyimbo nyingine mbili kwa mpigo baada ya kuachia Mdogo mdogo ambayo bado inatamba kwasasa huku akikimbiza katika nominations za tuzo mbalimbali za

Iyanya - Mr Oreo [Official Music Video]

After weeks of anticipation and intense expectation, Triple MG frontline
artiste, Iyanya, releases the video to his banging hit track “Mr Oreo”.
One of the tracks off the Triple MG album, “Mr Oreo” was produced by

Sis P ft Nick Mumba-Msupa (Official Video)

"Msupa", Swahili slang for "Beautiful". Performed by Sis P & Nick
Mumba. African House beat with smooth RnB vocals. Audio Produced by
Rabizzle, Recorded at Half Note Records. Video Produced and Directed by
Doctord Pictures.

Kaa Tayari Rich Mavoko kuachia video mpya ‘Pacha Wangu’ wiki hii(NISHEEDAH)

Moja kati ya wasanii wakali wa Bongo Flava, Rich Mavoko amatease video yake mpya anayotarajia kuiachia hivi karibuni ya wimbo wake ‘Pacha Wangu’. Mavoko aliyekuwa kimya kwa muda kidogo amesema mashabiki wake na watu wengine wote wakae mkao wa kula kupokea kitu kipya na Bofya Hapa Kwa Taarifa Zaidi...(twitter;@paulmkale)fb;paul e kilas

Davido kushoot video mbili kwa mpigo wiki hii Marekani

Baada ya mastar wa Nigeria P-Square, Wizkid na Iyanya kuachia video zao mpya ambazo wote wameshoot Marekani hivi karibuni, hit maker wa ‘Aye’, Davido naye anatarajia kushoot video mbili kwa

Hunter Ft Dfleva-Baba Mama(Official Music Video)

Cabo Snoop ft. Kyaku Kiadafi - Wuntanina[NEW AUDIO]