Pax ft Walter Chillambo_-Muda[NEW AUDIO]@paulmkale
Pax Ameachia Wimbo Wake Mpya"MUDA"Aliyomshilikisha Mkali Wa Mavela Namzungumzia Walter Chillambo.Isikilize Na Download Hapa..>
Msamiati ft Tanzanite_-Sale Za Walimu[NEW AUDIO]
Msamiati AMEACHIA Wimbo Wake Mpya"SALE ZA WALIMU"Aliyomshilikisha Tanzanite.Isikilize Ngoma Hii Inayowalenga Sana Walimu Na Download Hapa..>
Afro Maniac ft Kasongo wa Kanema – Mama Drama(Official Music Video)
Afro Maniac Ameachia Video Ya Nyimbo Yake Mpya"MAMA DRAMA"Aliyomshilikisha Kasongo wa Kanema.Itazame Na Download Hapa..>
Kitale ft Stani Bakora & Mide Zo_-[NEW AUDIO]@paulmkale
Kitale Ambaye Ni Mwigizaji Wa Filamu Za Vichesho Ameachia Wimbo Wake Mpya"KITU KIDOGO"Aliyowashilikisha Stani Bakora & Mide Zo.Isikilize Na Download Hapa..>
Young Killer Ft Fid Q & Bell 9_-13[NEW AUDIO]@paulmkale
Young Killer ameachia wimbo wake uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu ’13’ aliowashirikisha Fid Q na Belle 9. Maproducer wanne wameshiriki kuutengeneza wimbo huo akiwemo P-Funk Majani. Wengine ni Palla Midundo, Amiga Tyga na Lollipop.Isikilize Na Download Hapa..>
Angel Benard_-Shujaa[NEW AUDIO]@paulmkale
Wimbo mmoja kila wiki kwa wiki 10!"* Huu ni wimbo wa pili kutoka album mpya NEW DAY kutoka kwa Angel Benard - wimbo unaitwa
Kid Ink Ft Usher & Tinashe - Body Language(Official Music Video)
Tazama Na Download Hapa Video Mpya Kutoka Kwa Kid Ink Akiwa na Usher na Tinashe Inaitwa Body Language
Watu Wa Africa Magharibi Wazuiwa Kuingia Kweye Nchi Hii
Serikali ya Australia imetengaza kuzuia kuingia mtu yoyote anayetokea nchi za Afrika Magharibi zilizoathiriwa na Ebola, Guinea, Liberia na
Sugu Ft Professor Jay - Makamanda[NEW AUDIO]@paulmkale
Mdau wa Mziki wa Kizazi kipya ndani ya Bongo na Kwengineko ulimwenguni. Pokea kazi mpya toka kwa wakongwe hawa wawili katika kuihamasisha jamii
Afromaniac ft Kasongo wa Kanema - Mama Drama[NEW AUDIO]
Afromaniac Ameachia Wimbo Wake Mpya"MAMA DRAMA"Aliyomshilikisha Kasongo wa Kanema.Isikilize Na Download Hapa
G Culture Ft Mo Music - Chozi la Damu[NEW AUDIO]
G Culture Ameachi Wimbo Wake Mpya"CHOZI LA DAMU "Aliyomshilikisha Mo Music.Isikilize Na Download Hapa
Diamond kupewa PHD chuo kikuu cha mlimani, sasa ataanza kuitwa Doctor Nassib.
TANGAZO NDUGU ZANGU: Ifikapo Tarehe 8 Novemba Saa 10 jioni,Kijana mwenzetu ambaye sisi tunamdharau na wengine wapuuzi kabisa kwa
Mr Chidoo ft Yemi Alade – Bolingo(Officiam Music Video)
Video mpya kutoka kwa Mr Chidoo kutoka Nigeria akimshirikisha Mwanadada Yemi Alade wimbo unaitwa “Bolingo”by BaselineMusic NG
jei Ali Kiba kafata nyayo za Diamond kwa kutoa Tshirt hiziiii??? Zione hapa
Clever One_-Si Unajua(Official Music Video)
Rich Mavoko ajiteua balozi wa watoto waliofungwa jela! Soma Hapo Chini
Rich Mavoko amejiteua mwenyewe kuwa balozi wa watoto waliofungwa jela kwakuwa alipitia maisha hayo kipindi akiwa mdogo.Rich amesema
Rude Rodgers ft Wise Man_-Sina Habari Nao[NEW AUDIO]
Rude Rodgers Ameachia Wimbo Wake Mpya"SINA HABARI NAO"Aliyomshilikisha Wise Man.Isikilize Na Download Hapa-
Diamond Platinumz Ft Yemi Alade_-Ukimwona"Coke Studio Africa"(VIDEO)
Inawezekana wewe ni miongoni mwa wapenzi wa wimbo wa Diamond Platnumz ‘Ukimwona’, ambao ulifanya vizuri sana kwenye mitaa mbalimbali ya.....>
Kaa Tayari;Ommy Dimpoz Kuachia Video Ya Tupogo Rimex
Ommy Dimpoz ameamua kufanya remix ya hit song yake ‘Tupogo’ambayo alimshirikisha staa wa Nigeria J. Martins, wimbo ambao licha ya
Nuhu Mziwanda Achora Tattoo Nyingine Yenye Alama Shishi Baby
Wakati Nick Cannon ametoka kufunika Tattoo yenye jina la mke wake Mariah Carey ambaye wametengana kwa kuongeza mchoro mwingine juu yake hivi
Diamond atajwa na Channel O miongoni mwa wasanii walioubadilisha muziki wa Afrika
Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii waliobadilisha muziki wa Afrika, kwa mujibu wa kipindi cha Top 10 Most cha
Hisia_-Gimme A Call[NEW AUDIO]
Baada ya ukimya mdogo star kutoka TPF ambaye ametamba na ngoma zake kama Mawazo na Just fo you amerudi tena, Hii ni ngoma yake mpya inaitwa “Gimme A Call” ikiwa ni mkono wa John Blass wa Grandmaster Records.
Rick Ross ft R.Kelly_-Keep Doin(Official Music Video)
Rick Ross Ameachia Video Ya Wimbo WAke Mpya"KEEP DOIN`THAT"Aliyomshilikisha R.Kelly,Itazame na Download Hapa.
Drake Aachia Ngoma Mpya 3-How About Now,6 God,Heat Of The Moment(Official Audio)
Siku moja baada ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa October 24, Drake ambaye ametimiza miaka 28 ameachia ngoma tatu mpya kwa mpigo. Drizzy ameachia nyimbo hizo kupitia website yake ya OvoSound pamoja na akaunti yake ya SoundCloud October 25. Majina ya ngoma hizo ni ‘6 God’, ‘Heat of the Moment’ pamoja na How About Now.Download Hapa Ngoma Hizo
Kimbunga Mchawi – King wa Dar es Salaam(Official Music Video)
Kimbunga Mchawi Ameachia Video Ya Nyimbo Yake Mpya"KING WA DAR ES SALAAM"Itazame video hii Na Download Hapa.
Leo usiku saa TATU usikose kutizama show ya COKE STUDIO AFRICA: EP 7 ndani ya TBC1 & TBC2
Ukimwona, Diamond Yemi Alade: http://CokeURL.com/ukimwona
Heri Muziku_-Nchi Yetu,Mziki Wetu[NEW AUDIO]
Heri Muziki Ameachia Nyimbo Yake Mpya"NCHI YETU"Ngoma Imetayarishwa Na Prod Mswaki.Isikilize Ngoma Hii Iliyojaa Mashaili Ya Kutosha Na Download Hapa @Paulmkale
Chidi Benz kukamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam
Kuna taarifa
zilitoka on millardayo.com leo jioni kuhusu msanii wa muziki wa kizazi
kipya Chidi Benz kukamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akiwa anaelekea Mbeya kwenye
Ali Kiba Amekataa Kuwa Hakupanga Watu Wamzomee Diamond Platinumz Show Ya Fiesta
Alikiba amekanusha uvumi unaodai kuwa huenda aliaandaa watu maalum wa kumzomea Diamond Platnumz kwenye show ya Fiesta iliyofanyika
Dubyson ft Steve RNB_-Sina[NEW AUDIO]@paulmkale
Dubyson Ameachia ngoma Mpya Iitwayo"SINA"Aliyomshilikisha Steve RNB,Ngoma Imefanyika Kwenye Studio Za Kili Record.Isikilize Na Download Hapa
Julio ft Chege_-Special For You(Official Music Video)
Julio Ameachia Video Ya Nyimbo Yake Mpya"SPECIAL FOR YOU"Aliyomshlikisha Msanii Anayefanya Vizuri Kabisa Namzungumzia CHEGE.Itazame Na Download Hapa
Subscribe to:
Posts (Atom)