Mirror_-How Do I Do[NEW AUDIO]@paulmkale

Hii Ni Ngoma Mpya Kutoka Kwa Msanii Mirror"HOW DO I DO"Isikilize Hapa Na Download

Angel Benard_-Ufundishe Moyo[NEW AUDIO]

"Ni sala ambayo ninamuomba Mungu anifundishe kumuabudu katika roho ya kweli, na siyo tu nikiwa katika shida au ninapohitaji msaada fulani." https://mkito.com/song/ufundishe-moyo/5652

Hii ndio list ya walipata tuzo za channel o.CHOAMVA

Cassper Nyovest #CHOAMVA Most Gifted Video. This is his biggest win of the night:

Make Money at : http://bit.ly/copy_win

Diamond Platnumz Ang'ara Kwa Kunyakua Tuzo 3 Channel O Africa Music Video Awards 2014.

Superstar wa Tanzania Diamond Platnumz ameng'ara tuzo za Channel O Africa Music Video Awards kwa kunyakuwa tuzo 3 za Most Gifted Newcomer, Most Gifted Afro-pop na Most Gifted East Africa . Katika kipengele cha Most Gifted Afro-pop alikuwa akichuana na Davido, Mafikizolo, Iyanya na kuibuka kidedea....... 

Cliff Mitindo Ft Ciana – Complicated(Official Music Video)

Tazama Hapa Na Download Video mpya kutoka kwa rapper Cliff Mitindo akimshirikisha Ciana wimbo unaitwa “Complicated” video imeongozwa na Kevin Bosco Kutoka Kenya

Nikki Mbishi Ft One,Songa & Lady JayDee – Kupanda na kushuka(Official Music Video)

Nikki Mbishi Ameachia Rasmi Video Ya Nyimbo Yake Mpya"KUPANDA NA KUSHUKA"Aliyowashilikisha One,Songa & Lady JayDee.Video Imeongozwa Na Adamu Juma,Itazame hapa Na Download

Lady Jay Dee(@JideJaydee) ft Dabo(@dAbOMtanzania) – Forever(Official Music Video)

Lady Jay Dee Ameachia Rasmi Video Ya Wimbo Wake Mpya"FOREVER"Aliyomshilikisha Dabo.Itazame Video Hiyo Hapa Na Download@paulmkale

Wakazi (@Wakazi) – Wanawake Wa Dar (WWD) (Official Music Video)

Wakazi Ameachia Rasmi Video Ya Wimbo Wake Mpya"WANAWAKE WA DAR"Itazame Hapa Na Download

Navy Kenzo_-Moyoni(Official Music Video)

Nvy Kenzo Wameachia Video Ya Wimbo Wao Mpya"MOYONI"Itazame Hapa Video Hiyo Na Downlload

Quick Rocka (@Quickrocka) Ft Young Dee (@youngdaresalama) – Bishoo(Official Music Video)

Quick Rocka Ameachia Rasmi Video Ya Wimbo Wake Mpya"BISHOO"Aliyomshilikisha Young Dee.Itazame Hapa Video Hiyo Na Download

Ommy Dimpoz (@OmmyDimpoz2) – Tupogo Remix (Official Music Video)

Ommy Dimpoz Ameachi Rasmi Video Yake Ya"TUPOGO"Itazame Video Hii Iliyoongozwa Na Dire,Adamu Juma Hapa

Kaa Tayari;Ommy Dimpoz Kuachia Video Ya Tupogo Remix Kesho Tar-28

Ommy Dimpoz anatarajiwa kuachia video ya hit single yake ya mwaka jana ‘Tupogo’, lakini hii ni Remix ambayo imepigwa katika..>

Weusi kujenga maktaba 100 ndani ya vijiji 100 kupitia kampeni ya "Mia Mia Mwanangu"

Kampuni ya Weusi yenye members 5, Joe Makini, Gnako, Nikki wa pili, Bonta na Lord Eyes, imeazimia kujenga maktaba 100 katika vijiji 100 kwa kushirikiana na watanzania wengine.Kampeni itakayofanikisha kujengwa kwa makataba hizo 100 katika vijiji 100 ambazo zitakuwa na vitabu 100 itakuwa inaitwa "MIA Mia Mwanangu" kampeni ambayo

Diamond Platnumz kuingia kwenye jumba la BBA Hotshots leo (Nov 27) kupiga story na washiriki

Diamond Platnumz tayari ametua jijini Johannesburg, Afrika Kusini toka jana, tayari kuhudhuria tuzo za Channel O (CHOAMVA) zinazotarajiwa kutolewa siku ya..>

Rick Ross_-(2-1)If They Knew,Hood Billionaire(Official Music Video)

Rick Ross ambaye wiki hii ametoa album yake mpya na ya saba ‘Hood Billionaire’, ameachia video mbili mpya za nyimbo kutoka kwenye album hiyo. Video hizo ni ‘If They Knew’ pamoja na ‘Hood Billionaire’.

Jaguar Kuja Bongo Kwa Ajili Ya Irene Uwoya

Kwenye Exclusive Inteview leo, Jaguar anasema anamkubali sana staa wa filamu kutoka Tanzania Irene Uwoya na kwamba...>

Jose Chameleone{@JChameleone}_-Milliano(Official Music Video)

Dr.Jose Chameleone Ambaye Ni Mwimbaji Maarufu Africa Mashaliki Ameachia Rasmi Video Ya Wimbo Wake Mpya"MILLIANO"Itazame Hapa Video Hiyo..

Funga Mwaka Mkali Wa "PACHA WANGU"Rich Mavocco Kuja Na Ngoma Kali

Baada ya kuachia ‘Pacha Wangu’, Rich Mavoko amesema yupo chimbo kuandaa silaha za kufunga mwaka.

Mavoko amesema kuwa sababu inayomfanya aachie wimbo mpya ni baada ya

Kaa Tayari;J`Mosi Hii Kundi La WEUSI Kuzindua Video Za 5 Mpya Pale Dar

Familia ya Weusi inaendelea kuonesha matunda ya muungano wao, wakiwa wanaendelea na ziara ya show zao za Funga mwaka, wiki hii Weusi wanatarajia kuzindua video zao tano kwa mpigo pale Escape One, jijini

G classy ft melody - If You Know(Official Music Video)

Itazame Video Hii Mpya Kutoka Kwa G classy ft melody - If You Know

Tiwa Savage_-My Darling(Official Music Video)

Mwimbaji wa kike kutokea Nigeria,Tiwa Savage ameachia video mpya ya single yake ‘My Darling’ iliyotayarishwa kwa ushirikiano wa Don Jazzy na Baby Fresh chini ya Mavins Records.

ZAWADI YA KRISMASI kutoka kwa WILLIAM OTUCK

Huu ndiyo wimbo wa utambulisho kutoka kwa William Otuck: https://mkito.com/song/zawadi-ya-x-mas/4691.

Je unapenda KULA BATA na DIAMOND (@diamondplatnumz) siku ya tuzo za CHANNEL O..? hebu ingia hapa

Unataka kuungana nami South Africa katika msimu huu wa @Channeloafrica Music Video Awards…????? Follow @fastjet weka hash tag #TeamWasafi #CHOAMVA14 na..>

Waje(@OfficialWaje) Ft Diamond Platinumz(@diamondplatnumz) _-Coco Baby(Official Music Video)

Just yesterday Waje dropped a new track called ‘Coco Baby’ featuring Tanzanian music star Diamond Platnumz – and now the video has also been released!..>

Kala Jeremiah Ft Nuruwell_-Usikate Tamaa(Official Music Video)

Itazame Video Hii Mpya Kutoka Kwa Kala Jeremiah Akiwa Amemshilikisha Nuruwell"USIKATE TAMAA"

Kala Jeremiah ft Nuruwell_-Usikate Tamaa[NEW AUDIO]@Paulmkale

Kala Jeremiah leo hii ameachia wimbo mpya "Usikate tamaa" akiwa amemshirikisha the long time singer Nuruwell.Kala ametoa Audio pamoja na video ya wimbo huo,Usikilize Hapa Na Download

Bif ya Diamond na Q Chief yaisha: Diamond ampa ofa ya AUDIO na VIDEO

kama ni mfatiliaji mzuri wa muziki na wasanii wetu utakumbuka kuwepo kwa bif kubwa kati ya Diamond na mkongwe Q chief baada ya Q kudai kuwa..>

Hisia_-Gimme A Call(Official Music Video)

Hisia ametoa video ya wimbo wake mpya Gimme a Call iliyotengenezwa chini ya director Hanscana wa Wanene Entertainment wakati audio imesimamiwa na producer John Blass wa Grandmaster Records.tazama video hiyo hapa chini

Lameck Ditto_-Heri Ya Christmas[NEW AUDIO]

Msimu wa Christmas ndiyo unatufikia sasa na wimbo wa kwanza wa Christmas ndiyo huu hapa kutoka kwa Ditto. Ditto ambaye ameandika nyimbo nyingi

Quick Rocka (@Quickrocka) ft. Young Dee (@youngdaresalama) – Bishoo[NEW AUDIO]

Quick Rocka (@Quickrocka)Ameachia Rasmi Ngoma Yake Mpya"BISHOO"Aliyomshilikisha Young Dee.Isikilize Hapa Na Download

Baba Mzazi Wa P-Square Afariki Dunia Hili Ni Pigo Kwa P-square

Mapacha kutoka nchini Nigeria Peter Okoye&Paul Okoye P- Square pamoja na kaka yao Jude Okoye,Jumatatu ya Nov 24 wamempoteza mzazi aliyebakia...>

Wema Sepetu "In My Shoes" S02EP02 Fiesta Tour Mwanza(VIDEO)

Tazama sehemu ya pili  reality ya show ya Msanii wa filamu Tanzania 'Wema Sepetu' inayojulikana kama "In My Shoes"

Jikoni With Kayumba Mkubwa Na Wanawe(VIDEO)

Tazama Hapa Mkubwa Na Wanawe Wakifanya Yao@paulmkale

Alawi Junior_-Every Body[NEW AUDIO]@paulmkale

Hebu chukuwa dakika zako kadhaa kumsikiliza ALAWI JUNIOR Na wimbo wake Mpya unaitwa EVERY BODY

Waje Ft Diamond Platinumz_-Coco Baby[NEW AUDIO]@paulmkale

Mwanadada Waje Kutoka Nigeria Ameachia Ngoma Yake Mpya"COCO BABY"Aliyomshilikisha Msanii Nyota Toka TZ,Diamond Platinumz.Isikilize hapa Na Download Ngoma Hii Iliyotayarishwa Na Prod;E-Kelly.

STD’z_-“Hizi Mitaa”[NEW AUDIO]@paulmkale

Bofya HAPA  https://mkito.com/song/hizi-mitaa/4501  kupakua wimbo mpya wa STD’z kwa Jina “Hizi Mitaa” toka studio za Noizmekah Productions chini ya

Jaguar ft Iyanya – One Centimeter Remix(Official Music Video)

Jaguar Ameachia Video Ya Remix Ya Wimbo Wa "ONE CENTIMETER"Aliomshilikisha Iyanya.Itazame Video Hiyo Hapo Chini

Andre K_-Cha Juu[NEW AUDIO]

Sikiliza Hapa Na Download Wimbo Mpya"CHA JUU"Kutoka Kwa Msanii Andre K..

Navy Kenzo_-Moyoni[NEW AUDIO]@paulmkale

Navy Kenzo Wameachia Nyimbo Yao Mpya"MOYONI"Isikilize Na Download Hapa.

Waje Amemwagia Sifa Kibao Diamond Platinumz Kwa Kuwapoteza P-Square

Diamond Platnumz yupo kwenye ligi nyingine kabisa sasa hivi. Staa huyo amewapiku mapacha wanaopendwa zaidi barani...>

AY ft Sean Kingston & Mr Triniti_-Touch Me[NEW AUDIO]

AY Ameachia Ngoma Yake Mpya"TOUCH ME"Aliyomshilikisha Sean Kingston & Mr Triniti.Isikilize Na download Hapa

Lad Jay Dee Ft Dabo_-Forever[NEW AUDIO]@Paulmkale

Lady Ameachia Nyimbo Yake Mpya"FOREVER"Aliyomshilikisha Dabo.Isikilize Ngoma Hii Iliyotayarishwa Na Prod;Man Walter(combination saund).na Download Hapa

Lady Jaydee ft Dabo_-Forever(VIIDEO TEARS)

Tazama ‘teaser’ ya video mpya ya Lady Jaydee aliomshirikisha Dabo ‘Forever’ ambao audio yake imetoka leo. Video imeongozwa na Adam Juma na inatarajiwa kuzinduliwa Nov.28.

Rekodi aliyoivunja Diamond Platnumz na kuiacha ya P Square

Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku..>

Kaa Tayari;Young Ray Kuja Na Ngoma Mpya Wakiwa Na Jux

Msanii chipukizi wa kizazi kipya Young Ray anakuja kuwashika mashabiki wa muziki wa kizazi kipya na ngoma yake iitwayo "Uzuri Wake" ambayo amemshirikisha Jux. Wimbo huo utatoka muda si mrefu.

Barnaba _-Mama Vanessa[NEW AUDIO]@paulmkale

Download Hapa Wimbo Wa Barnba Mama Vanessa

Walichokiandika mashabiki wakati Channel O ikionyesha ‘My Number One’ ya Diamond Platnumz

Mpaka sasa zimebaki siku mbili za kumpigia kura msanii pekee aliyetajwa kuiwakilisha Tanzania kwenye tuzo za Kituo cha

Jibu la Diamond la kwanini ametumia tena wazungu kwenye video mpya ‘Ntampata wapi’

Baada ya Diamond kuachia video ya ‘Ntampata wapi’ iliyofanyika Afrika Kusini, amekutana tena na maswali aliyokutana nayo kipindi alipoachia video ya..Bofya kuendelea

Chege na Temba waingia studio Afrika Kusini kurekodi wimbo na Uhuru

Wasanii wa TMK, Chege na Temba wako nchini Afrika Kusini ambako wameenda kufanya show kwenye miji ya Pretoria na

Jambo Squad – Mama Klaree"Mixtape.Noiz"[NEW AUDIO]

Wakati tukisubiri Video Rasmi ya wimbo wa Jambo Squad ft Nakaaya unaofahamika kwa jina “Naarenduu” fanya kuDownload Mixtape Track toka