Grace Matata (@GraceMatata) & Maua Sama (@MauaSama) – HELLO[NEW AUDIO]

Maua Sama & Grace Matata - Hello (Official Poster)

HELLO! is a duet featuring Grace Matata and Maua Sama. The song is written and composed by Maua Sama and Grace Matata, produced and mixed by Ema the Boy at Classic Sound Studio and mastered by Will HD.

Ruben Jr ft. Ethun – Hi Haters(Official Music Video)

Weusi ft Collo, Navio, Nazizi & Rabbit – GERE Remix (Nahreel.Chizan)[NEW AUDIO]

Kupakua “Weusi ft Collo Nazizi Navio & Rabbit-GERE REMIX” bofya HAPA https://mkito.com/song/gere-remix-ft-collo-navio-nazizi-rabbit/9742 na hii ndio Official Release ya kufunga Mwaka follow @weusikampuni @joh_makini @lordmweusi @gnakowarawara @nikkwapili featuring @collinsmajale @naviomusic @nazizihirji @thekingkaka produced by @nahreel & chizan brain powered by @defxtro @mkitodotcom @vmgafrica www.vmgafrica.com
#EastAfricanGereRemix
#supportafricanartists #shidampya

Vanessa Mdee ft Barnaba, Aika, Nahreel & AVID - WCD (Official Music Video)

Tanzania artists - Vanessa Mdee, Barnaba, AVID, Aika & Nahreel (Navy Kenzo) come together to celebrate & show their appreciation to the fans that have supported them through the years by collaborating on "WCD" - Wave Clap Dance. Produced by Nahreel. Shot by Hanscana

Nay Wa Mitego-Akadumba(Official Music Video)


Tazama Hapa Video Nyingine Kali Sana Kutoka Kwa Msanii Nay Wa Mitego Iliyotengenezwa Na Kevin Bosco Jnr Wa Decent Media


Tuzo Walizoshinda @VanessaMdee Na @diamondplatnumz Zilizofanyika Nigeria.

vanessa mdee tuzo

Mtangazaji/Msanii Vanessa Mdee na  Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wamewakilisha vizuri Tanzania kwa kushinda tuzo zingine kubwa Nigeria za AFRIMA.

Vanessa ameshinda tuzo ya Best Female Artist in East Africa [Msanii bora wa kike Afrika Mashariki ] huku Diamond akishinda Tuzo Ya Best Male Artist in East Africa [ Msanii bora wa kiume Africa Mashariki] . Tuzo ya Diamond ilipokelewa na Peter Msechu ambaye pia alikuwa kwenye kuwania tuzo hizo.

vanessa mdee tuzo 3
peter 2 peter 3

Hongera kwao na Peter Msechu kwa kuwakilisha vizuri.

Chanya boy ft Kasu- Fasili ( Official Music Video)

Tazama hapa Video mpya Chanya boy"FASILI"Aliyomshilikisha Kasu,Video hii imeongozwa na directed  creator pro5

Mashada inc Production ..mob no 0716 397319

COPYRIGHTS


@CreatoR Pro5tm

Msami – Shake Shake(Official Music Video)

Hii ni video mpya kutoka kwa Msami wimbo unaitwa “Shake Shake” video imeongozwa na Aby kaz,New video from Blue Media
artist Msami
all Right Under Blue Media company

Shebby Love ft Becka Title-Baikoko[NEW AUDIO]

Sikiliza Hapa Na Download ngoma mpya ya Shabby Love"BAIKOKO"Aliyomshilikisha Becka Title

Mkubwa Na Wanawe-Tulia[NEW AUDIO]@paulmkale

Kundi la Yamoto Band/Mkubwa Na Wanawe wameachia ngoma mpya "TULIA"Wimbo huu *TULIA* wa *Yamoto Band* aka Mkubwa na Wanawe ulikuwa umejificha kwenye catalog ya nyimbo ambazo wamerekodi lakini hawakuwahi kuachia rasmi.Isikilize hapa na Downlod

Wimbo wa Bracket ‘Alive’ ft. Diamond ni wa shukrani baada ya memba wake kupona Kansa, Vast aelezea jinsi alivyougua hadi kupona

vast1

Alive -“Hii ni hadithi ya kweli ya Vast Bracket, safari yake hadi alivyopona kansa mwaka 2013. Huu ni wimbo wa shukrani kwa kumfanya mshindi aliyeishinda kansa.”

Hayo ni maneno yanayoonekana mwanzoni mwa video ya wimbo mpya ya kundi la Bracket kutoka Nigeria iliyotoka wiki hii, ambao wamemshirikisha Diamond Platnumz na Tiwa Savage.


Kipindi Vast anaumwa kansa

Memba wa kundi hilo aitwaye Vast, mwaka 2013 alikuwa akipigania uhai wake baada ya kuugua kansa ya damu ambayo baadae alifanikiwa kupona, ndio sababu ya kundi hilo kuamua kurekodi wimbo huu ‘Alive’ kwaajili ya kumshukuru Mungu kutokana na kumuwezesha msanii huyo kupona. “There was a time that I felt I would die. My only fear was that I was not close to God. I was afraid that if I died, I would not make it to heaven. We musicians have a particular lifestyle. You may plan to be upright, but when you go into entertainment business, it would change you. 

Wizkid--Wonder(Official Music Video)

Wizkid msanii ambaye anafanya vizuri kama mkali wa Fiesta Davido huko kwao Nigeria, ametoa hii video mpya ya single iitwayo Wonder

itazame hapa


Eddy Kenzo-Be Happy(Official Music Video)

Eddy Kenzo ni mmoja ya wasanii wakubwa Uganda na anaendelea kufanya kazi bora kila siku, hii video yake mpya imetayarishwa na God Father aliyetayarisha videokama Kerewa, Ole Themba,Ntampata wapi, Mdogo mdogo na video mpya ya Ali Kiba ‘Mwana’

D’banj – Feeling The Nigga(Official Music Video)

Wiki moja baada ya kutanguliza kutoa audio, D’Banj ametoa video ya single yake mpya ‘Feeling The Nigga’. Itazame hapaNigga is a word which evolved from the derogative term "nigger". Tupac best defined the distinction between the two.

NIGGER- a black man with a slavery chain around his neck.

NIGGA- a black man with a gold chain on his neck.
Tupac defined the word

Tunda Man - Mapenzi Yale Yale(Official Music Video)

Hatimaye Tunda Man Kuachia Rasmi Video Ya Ngoma Yake Mpya"MAPENZI YALE YALE"Itazame Hapa video hii

Wema Sepetu-In My Shoes S02ep07

Ali Kiba -Hella[NEW AUDIO]@paulmkale

Ali Kiba Ameachia Ngoma Mpya "HELLA"Isikilize Hapa Na Download @paulmkale

Picha: Yupi mrembo zaidi? Model kwenye video ya ‘Pacha Wangu’ au yule wa ‘Ntampata Wapi’

003Diamond Platnumz na Rich Mavoko ni miongoni mwa wasanii waliotoa video kali mwaka huu. Pamoja na Mdogo Mdogo na Bum Bum, Ntampata Wapi imekuwa video iliyopokelewa vizuri zaidi mwaka huu. Naye Rich Mavoko amefanikiwa kuwa na video kali zaidi katika career yake, Pacha Wangu. Zote Ntampata Wapi na Pacha Wangu zimetumia mamodel warembo wa Afrika Kusini. Lakini nani ni mrembo zaidi? Melissa wa Diamond au Jane wa Mavoko? Tazama picha zao hapo chini na funguka kwenye comments.040021

Stereo (@Stereo89Stereo) – UKONGA MIKONO JUU[NEW AUDIO]


Matunzo Zero Ft Young Killer-Furaha Yetu[NEW AUDIO]

Wimbo mpya kutoka kundi jipya aliloanzisha Young Killer Msodoki. Kundi linaitwa Matunzo Zero Unity na wimbo wao wa kwanza unaitwa Furaha Yetu. Download wimbo hapa:

Bracket Ft. Diamond & Tiwa Savage – Alive(Official Music Video)

Kundi la Bracket kutoka Nigeria Wameachia video Ya nyimbo yao mpya"ALIVE"Waliomshilikisha msanii Nyota Kutoka Bongo Diamond Platinumz na Tiwa Savage,Itazame hapa

Young Killer kuitambulisha ‘MZU’ kwenye wimbo ‘Furaha Yetu’

IMG-20141222-WA0001

Rapper Young Killer pamoja na familia yake ya ‘Matunzo Zero Unity’ wanatarajia kuachia wimbo wao wa kwanza.

Young Killer amesema kuwa wimbo huo ni kama zawadi kwa mashabiki na wengine wanaomuunga mkono.

Picha: Ommy Dimpoz ajipa Prado mpya kama zawadi ya Christmas

Ommy Dimpoz amepata zawadi ya Christmas mapema. Ni Toyota Prado mpya aliyojinunulia mwenyewe10843682_849330128423023_728327741_n.“Christmas present for myself. Thanks Allaah for everything tukutane January Inshaallaah…for big surprise,” ameandika Ommy kwenye Instagram.

IMG-20141222-WA0001

Wema Sepetu (@wema_sepetu) “IN MY SHOES” S02EP06 My Birthday

Ulipitwa na show ya Wema Sepetu (@wema_sepetu) “IN MY SHOES” S02EP06 My Birthday..? Ingia hapa kutizama

FidoVato ft ROMA (@Roma_Mkatoliki) – Matatizo ya Raia Remix[NEW AUDIO]

Bofya HAPA https://mkito.com/song/matatizo-ya-raia-remix-ft-roma/9122 kupakua wimbo wa “FidoVato” akiwa amemshirikisha “ROMA Mkatoliki kwa jina “Matatizo ya Raia Remix” toka pande za Tongwe Records na Noizmekah, Kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na “FidoVato” kwa nambari +255 783 825 519 powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com

FidoVato ft ROMA-Matatizo ya Raia RMX (Tongwe.Noiz) https://mkito.com/song/matatizo-ya-raia-remix-ft-roma/9122

JCB (@jcb_makalla) ft BEN POL (@IamBenPol) “I DONT CARE”(Official Music Video)

Tazama hapa video mpya ya Jcb"“I DONT CARE”Akiwa na Ben Pol

Zari na Diamond waweka hadharani mahaba yao kwenye ‘Zari All White Party’

Sajna-Nibebe[NEW AUDIO]@paulmkale

Msanii kutoka Mwanza Sajna ameachia wimbo mpya "NIBEBE"Uliyotayarishwa na Prod-Fundi Samwel,Isikilize Hapa na download

Bella Ft Baby Madaha & Dully Sykes__Mimi[NEW AUDIO]@paulmkale

Sikiliza Hapa Ngoma Mpya Ya Bella"MIMI"Akiwa na Baby Madaha & Dully Sykes

WEMA SEPETU- “IN MY SHOES” S02EP05(VIDEO)

Je ulimiss show ya WEMA SEPETU (@wema_sepetu) “IN MY SHOES” S02EP05..? hebu ingia hapa>>


Tazama Picha: Mkubwa na Wanawe yatoa msaada kwa kituo cha watoto yatima Temeke

Katika kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa Yamoto Band, kituo cha Mkubwa na Wanawe leo kimekabidhi msaada kwenye kituo cha watoto yatima kilichopoa Temeke, Dar es Salaam.

IMG_4727

Akikabidhi msaada huo, mkuu wa kituo hicho, Said Fella alisema: Kabla ya kuzungumza chochote Napenda kutoa shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kila jambo ambalo limefanikiwa ni kwa kupitia yeye aliye muweza wa yote.”

IMG_4741

“Pili nawashukuru Watanzania wote karibu kila nyanja kwa kuonyesha ushirikiano wao kwa Mkubwa na Wanawe mpaka kufikia hapa hii leo.Toka ianzishwe Yamoto Band leo ni siku ya furaha kwetu kusheherekea mwaka mmoja ambao umefanyika kuwa na mafaanikio mengi makubwa. Moja kati ya mafanikio hayo ni kuuza kazi zetu kweye mtandao na kukuletea kokote ulipo mpaka majumbani,” alisema.

IMG_4734

Aliongeza: Na kwa hiki kidogo tulichokipata sisi ukijumuisha na furaha tuliyo nayo ya kutimiza mwaka mmoja tumeona ni bora tugawane na wenzetu ambao ni wahitaji haswa kwa msimu huu wa sikukuu kamaIMG_4743 tulivyozoea kufanya toka kipindi cha nyuma kwani hawa ni sehemu yetu kama wanajamii wenzetu.Na kwa wale wapenzi na mashabiki wa Yamoto Band tupo tayari kukupatia kilicho bora zaidi.IMG_4716

Video mbili za ‘Akadumba’ zimemkamua shilingi milioni 36 Nay wa Mitego

Nay wa Mitego amekata mpunga mrefu kushoot video mbili tofauti za ngoma yake ‘Akadumba’

Nay amesema kuwa, shilingi milioni 36 zimetumika kukamilisha mzigo huo.

“Kiukweli kabisa imenigharimu pesa nyingi sana ambayo sikufikiria kama inaweza ikanigharimu kiasi hicho,” amesema Nay. “Nilikuwa natafuta kitu kizuri na kuwaonyesha watu nini kinatufanya tutoke nje. Kwahiyo video moja nimefanyia nchini Kenya na Kelvin Bosco na moja nilimsafirisha akaja hapa nyumbani Tanzania, zote kafanya yeye. Kwahiyo zote zipo tayari. Zimegharimu zaidi ya milioni 36. Kwahiyo mpaka sasa hivi ninaweza nikasema zitatoka kabla mwaka huu haujaisha. Moja itatoka Alhamis ijayo ambayo nimefanyia nyumbani na hii nyingine itatoka mwaka huu huu.”

Bracket Ft Diamond Platinumz & Tiwa Savage_-Alive[NEW AUDIO]@paulmkale

Kundi la Bracket Wameachia ngoma mpya"ALIVE"Waliyomshilikisha msanii nyota kutoka bongo Diamond Platinumz Na mwanadada kutoka Nigeria Tiwa Savage,Isikilize hapa na Download

Nuh Mziwanda - Zima Taa[NEW AUDIO]@paulmkale

Sikiliza hapa na download ngoma mpya ya Nuh Mziwanda"ZIMA TAA"

Q Chilla - For You[NEW AUDIO]@paulmkale

Q Chilla ameachia nyimbo mpya"FOR YOU"Iliyotayarishwa na Prod-Mazuu Record,Isikilize na download hapa

Kadjanito__Siulisema(Official Music Video)

Tazama Video mpya kutoka kwa Kadjanito wimbo unaitwa “SIULISEMA” video imeongozwa na Sai & Hashem

Willy Paul - Mamangu(Official Music Video)

"This song is a testimony and a prayer that I have written as a dedication to my mother, who has been ailing for over 15 years. I want to share the love I have

New Music: Young Suma Ft G-Nako - Hatujivungi | Download

Isikilize Hapa na Download ngoma mpya ya Young Suma"HATUJIVUNGI"Akiwa na G-Nako

Joh Makini Ft. GNako– Xo (Official Music Video)

Joh Makini ameachia video ya wimbo wake mpya"XO"Aliyomshilikisha G-Nako,Itazame hapa