Video: Diamond ajibu mapigo ya wanaomchukia kwa video hii ‘sexy’ ya Zari akiwa kitandani

http://paulmkale.blogspot.com/
Wote tunafahamu kuwa uhusiano wake na Zari the Bosslady unapigwa vita vikali na TeamWema! Well, Wema Sepetu alishawahi kusema kuwa hana kinyongo kwa Diamond lakini hiyo haimaanishi kuwa jeshi lake la watu zaidi ya 560,000 Instagram lina mtazamo huo pia! Team Wema haitakuja kuipenda couple yenye nguvu zaidi Afrika Mashariki ‘Zarimond’.
Hilo Diamond analijua pia na ndio maana jana aliamua kuitoa character yake ya ‘uswahili’ ‘ushari’ kwa kupost video akiwa chumbani kwake kwenye mjengo wake ambayo yeye anauita state house!
Kwenye video hiyo ambayo unasikika wimbo maarufu wa kihindi ‘Kuchi Kuchi’, anaonekana Zari akiwa kajilaza kitandani na gauni jekundu la kulalia. Kwenye video ya kwanza, Diamond anawaonya ‘haters’ kwa kuandika: ‘Crazy Us …Tafta kopo Ujiandae Kutapika maana Ndimu Zishakuzoea…. #StateHouseByNight.”
‘I am taking you straight to state house,’ anasikika Diamond akiongea kwenye video hiyo. ‘I see my beautiful baby she is right there.’
Katika video ya pili, staa huyo ameandika: Sasa si uniunfollow kama Nakukera.. hupendi halaf bado Umeng’ang’ania tu Kwenye Page yangu….Utaja kufa kwa Hasira bure #StateHouseByNight.”
Kwenye video ya tatu anaandika: Nimemuuliza “unanita” kasema Ndio!… nije? kasema “Njoo”… siju niiweke inayofata au??? #StateHouseByNight.”
Kama unavyoweza kufikiria, video hizo zimesababisha hasira kali upande wa upinzani ambao hadi muda huu wanaendelea kushambulia kwenye ukurasa wake kama nyuki waliochokozwa!

New Video: Young Killer Ft.Ommy Dimpoz,Linah & Roma - Mungu Baba(Official Video)

Watch and share the brand new song "Mungu Baba" by Tanzanian artistes Young Killer Msodoki featuring Linah, Ommy Dimpoz and Roma.

New Video: Wiz Khalifa - Good For us (Official Video)

Hii ni orodha kamili ya walioteuliwa kwenye Kill Music Award 2015,bofya kuona majina yote..

http://paulmkale.blogspot.com/ http://paulmkale.blogspot.com/ http://paulmkale.blogspot.com/ http://paulmkale.blogspot.com/ http://paulmkale.blogspot.com/ http://paulmkale.blogspot.com/Baaba ya kuipitia nimeona majina ya mastaa walioongoza kwa kuteuliwa kwenye vipengele vingi zaidi, wa kwanza ni Ali Kiba ambae yuko kwenye vipengele sita, anafuatia Diamond kwenye vipengele vitano na Jux ambae yuko kwenye vipengele vinne.. Kila la kheri kwa watu wetu !!

New Video: Yemi Alade ft. Marvin - Kissing/French Remix(Official Video)

Diamond Platinumz kuja na TV yake.Bofya zaidi..

http://paulmkale.blogspot.com/

Msanii Diamond Platnumz amesema katika show ya ‘Zari All White Party’ itakayofanyika mwisho wa wiki hii  kutakuwa na vitu mbalimbali ikiwemo event yote kuruka Live.. kingine kumbe siku hiyo jamaa atazindua rasmi TV yake !!

New Music: Hisia - Keep You Warm | Download

https://mkito.com/song/keep-you-warm/14173/bwi-59-28216

Baada ya Video Ya Sophia Sasa ,Ben Pol Asaini Mkataba na Pana Music LTD


http://paulmkale.blogspot.com/

Tanzanian leading music act, Ben Pol, signed a long term management contract with Panamusiq, a recently established artist management company based in Dar es Salaam.


Ben is an award winning singer and songwriter mainly prolific with R&B tunes that have always graced the top tables of Tanzanian radio charts. His last production, “Sophia”, is currently on the highest rank of most notable charts. Other well known hits from this “Dodoma boy” are “Jikubali”, “Samboira”, “Unanichora” feat. Joh Makini and “Maneno” to name few out of a long catalogue of music from this Bongo talent.


His latest video of “Sophia” enjoys huge popularity on the net with over 91,000 views in its first 7 days on YouTube. Video link:https://youtu.be/81i3dybXK8U 


Panamusiq, established in mid 2014, provides innovative management services to African artists to develop their talent in fully exploitable brand value. Panamusiq most remarkable achievements have been accomplished with its previously managed Tanzanian music star Vanessa Mdee. More notably: a) Brand Ambassadorship deal with Samsung Electronics; b) Product Placement by Crown Paints Kenya for the production of Hawajui Video (this was a first for a Tanzanian artist); c) Signing of a records deal with Kult Records, NYC (www.kult.com) for “Come Over”.

http://paulmkale.blogspot.com/


The new partnership aims at developing Ben Pol into a sustainable global brand and consolidating his fame in Tanzania and across Africa. We expect to realize this plan through the production of great music, highly professional services and the co-operations with global brands and international music industry players.


For more info: info@panamusiq.com or +255784172291


powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com  @defxtro #SupportYourOwn

New Music: Tonto - Sophia Remix | Download

http://www.audiomack.com/song/paulmkale/tonto
Akiwa msanii wa tano kuifanya SOPHIA ya msanii BEN POL, yeye anaitwa TONTO yeye ameimba kama wifi yake SOPHIA...... ikiwa ni baada ya AYLER na NAY LEE kuimba wakichukua uhusika wa SOPHIA

New Music: Dully Sykes - Shuka | Download

https://mkito.com/song/shuka/14193/bwi-59-28194

New Video: Kamikaze - Nikikuona(Official Video)

cyrill kamikaze new video 2015 nikikuona produced by Godfather Mbezi directed by young wallace..for bookings email address kamikazekazini@gmail.com

New Video: Mo Music - Nitazoea(Official Music Video)

http://paulmkale.blogspot.com/

Pigia Kura XO Video ya Joh Makini kama video inayopendwa na watu

Pigia Kura Video ya "XO" by @joh_makini ft @gnakowarawara katika "Tuzo za Watu 2015" kuwania Tuzo ya Video Bora Inayopendwa na Watu kwa kuandika "TZW13E" kwenda "15678" au kupitia Tovuti ya www.tuzozawatu.com

Tuzo Za Watu Yazidi Kupiga Hatua Wanaowania Tuzo Hawa HAPA Bofya HAPA Kuangalia Orodha Nzima...

Mtangazaji wa redio anayependwa TZW1         

Dida – Times FM

D’Jaro Arungu – TBC FM

Diva – Clouds FM

Mariam Kitosi – Times FM

Millard Ayo – Clouds FM


Kipindi cha redio kinachopendwa TZW2

Ala     za Roho – Clouds FM

Amplifaya – Clouds FM

Hatua Tatu – Times FM

Papaso – TBC FM

XXL – Clouds FM

Mtangazaji wa runinga anayependwa TZW3     

Abdallah ‘Dullah’ Ambua – EATV  

Salama Jabir – EATV/Maisha Magic

Salim Kikeke – BBC Swahili

Sam  Misago – EATV

Zamaradi Mketema – Clouds TV

Kipindi cha runinga kinachopendwa TZW4

Friday Night Live – EATV

In My Shoes – EATV

Mkasi – EATV

Planet Bongo – EATV

Take  One – Clouds TV


Blog/Website inayopendwa TZW5

Muongozaji wa video anayependwa TZW6

Abby Kazi

Adam Juma

Khalfan

Hanscana

Nisher

Muongozaji wa filamu anayependwa TZW7

Jacob ‘JB’  Stephen

Leah Mwendamsoke

Timothy  Conrad

Vincent ‘Ray’  Kigosi

William Mtitu

Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa TZW8

Elizabeth ‘Lulu’  Michael

Irene  Uwoya

Jacqueline  Wolper

Riyama  Ally

Wema Sepetu

Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa TZW9

Hemedi  Suleiman

Jacob   ‘JB’    Stephen Mzee

King Majuto

Salim ‘Gabo’ Ahmed

Vincent  ‘Ray’ Kigosi

Mwanamuziki wa kike anayependwa TZW10

Lady  Jaydee

Linah

Mwasiti

Shilole

Vanessa  Mdee

Mwanamuziki wa kiume anayependwa TZW11 

Alikiba

Barnaba

Diamond  Platnumz

Jux

Ommy Dimpoz

Filamu inayopendwa TZW12

Chausiku

Kigodoro

Madam

Mshale wa Kifo

Sunshine

Video ya muziki inayopendwa TZW13

Akadumba –  Nay  wa        Mitego

Kipi Sijasikia – Profesa Jay

Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz   

Wahalade –  Barnaba

XO – Joh  Makini