Sentensi 18 za Edward Lowassa akitangaza kugombea Urais Arusha Hizi HAPA
May 30 2015 inakuwa siku ambayo inaingia kwenye Historia kubwa kwenye ishu za siasa Tanzania.. Bado miezi michache ufanyike Uchaguzi Mkuu, mmoja ya watu ambao walitajwa sana na kuwa kwenye headlines kubwa kwenye vyombo vya habari ni Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa.
Uwanja
wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid katikati ya Jiji la Arusha
umeshuhudia kwa mara nyingine kujaa kwa watu ambao walikuja kwa ajili ya
kushuhudia Mbunge huyo akitangaza nia rasmi kabisa kwamba atagombea
Urais mwaka huu.
“Watanzania
wanahitaji mabadiliko, nina uwezo wa kusimamia mabadiliko hayo..
Mwalimu Nyerere alisema Watanzania wasipoyapata mabadiliko hayo ndani ya
CCM watayatafuta nje ya CCM. Sina shaka tukijipanga vizuri ndani ya CCM
tunaweza kuwapa Watanzania mabadiliko wanayoyataka”>>> Edward
Lowassa.
“Nchi
yetu inahitaji viongozi wenye sifa hizi.. uongozi wenye uthubutu
usioogopa kufanya maamuzi magumu, uongozi usioyumba.. Aweze
kuwaunganisha Watanzania na kutoa utofauti kati ya walio nacho na wasio
nacho“>>> Edward Lowassa.
“Nina
hamu, nina shauku na nina uwezo wa kuiongoza Tanzania… Ninaamini nina
kila kigezo cha kuibeba dhamana ya nchi yetu.. Katika vitu
ninavyojivunia ni pale nilipoenda kupigana vita ya Kagera, nilishiriki
kikamilifu nikiwa miongoni mwa askari wa mbele kuikomboa nchi yetu,
muwaulize wengine waliwahi hata kufika Kagera?”
“Kwa
wingi wa rasilimali tulizonazo tuna kila sababu ya kuwa ombaomba… Haya
ninayoyaeleza ndio msingi wa utendaji wa Serikali nitakayoiongoza
nikichaguliwa.. nimeamua kugombea Urais ili kupambana na umaskini..
Uongozi wangu utaleta mchakamchaka wa maendeleo”– Edward Lowassa.
“Najua
Watanzania wangapi wanaishi kwa bodaboda, mama ntilie.. hawa ni rafiki
zangu hawatafukuzwa barabarani.. ni raia wa Tanzania wanaostahili kula
kama wewe“
“Kwenye michezo tumechoka kuwa kichwa cha mwendawazimu, tutaibadili hali hii kwa kasi sana“>>> Edward Lowassa.
Ali Kiba Is Everything To Me And We Also Have a Project Together: Jokate!!!!
Jokate Mwegelo says Ali Kiba is everything to her but they are not
lovers as some say. Speaking with Globalpublishers also revealed they
have a project together and from now Ali Kiba will be seen in Kidoti's
brand. "my people should know Ali Kiba is everything to me but not about
love affair, we have lots of projects together, be patient you will
witness everything going on between us, from now Ali Kiba will be face
of Kidoti brand" said Jokate
Diamond Platinmz kufanya remix ya wimbo wake mpya na Uhuru wa Africa Kusini.
Wimbo na video mpya ya Diamond ft. Mr. Flavour wa Nigeria imekuwa na
mapokezi makubwa hata kwa mastaa wakubwa wa Afrika, ambao wamempongeza
kwa wingi kupitia mitandao ya kijamii.
Miongoni mwa mastaa hao ni pamoja na member wa kundi la Uhuru la
Afrika Kusini ambaye pia ni producer, Dj Maphorisa ambaye amemuomba
Diamond afanya nao Remix ya ngoma hiyo.
Dj Maphorisa ambaye ameshatengeneza hits nyingi za wasanii wengi wa
Afrika wakiwemo Mafikizolo, Davido, Wizkid na Watanzania kama Linah,
Madee, Chege na Temba, amepost comment aliyojibiwa na Diamond baada ya
kucomment kwenye post yake ya Instagram na kuandika kuwa Diamond
amekubali kufanya naye remix ya wimbo huo.Kupitia mitandao yao walipost hivi-
New Video: Awilo Longomba ft Psquare - Enemy Solo (Official Video)
The Most anticipated video "Enemy Solo" from Congolese legend Awilo
Longomba and Africa's superstar duo Psquare is finally here!!!!
Enemy Solo in Lingala means "Enemy Bad Smell" which simply refers to enemies of progress, or as Nigerian will call it "Bad Belle" people
Produced by Vtek and Directed by renowned Visual genius Clarence Peters the video illustrates an underground dance battle with Awilo and Psquare as Judges.
Choreographed by Dance Queen "Kaffy", CEO dancers' Ezinne Asinugo and Congolese UK based Choreographer Sir Loui

New Music: Diamond Platnumz Ft Mr Flavour - Nana | Download
Diamond Platnumz amekamilisha collabo nyingine na msanii kutoka Nigeria ‘Mr Flavour’ wimbo umepewa jina ‘Nana’isikilize hapo.
New Video: Diamond Platnumz Feat Mr Flavour - Nana(Official Video)
Ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz ambayo hii kamshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr.Flavour wimbo unaitwa Nana,video imefanywa na GodFather mtu wangu. Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu kumuimbia mrembo aliye mbele ya macho yake,unaweza kumuandikia chochote hapa Diamond kisha baadae atapita na kusoma comment yako mtu wangu.
Video mpya ya Diamond ft. Mr Flavour Kutambulishwa MTV Base leo saa 12 jioni.
Leo hii Diamond Platinumz anatarajia kuachia ngoma yake mpya aliyomshilikisha Msanii maarufu kutoka nchini Nigeria Mr Flavour"NANA"Ndo jia la wimbo huo.Wimbo huo utatambulishwa rasmi katika kituo cha MTV BASE saa kumi na mbili za jioni.Ngoma hiyo imetayarishwa na Producer Nahreel wa Industry na video imeongozwa na Godfather.
BREAKING!! Yes, you guessed right...another #FirstOnBase! #Nana by @diamondplatnumz ft @2niteFlavour happens tomorrow pic.twitter.com/a3NBNlryaG
— MTV Base Africa (@MTVbaseAfrica) May 28, 2015
YAMOTO BAND, MASHAUZI KUWASHA MOTO MANGO GARDEN LEO
KWA mara ya kwanza baada ya miaka mingi, ukumbi wa
Mango Garden, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam, kupitisha wikiendi
bila burudani yoyote, leo usiku ‘utawaka moto’ wakati Yamoto Band na
Mashauzi Classic zitakapotoa shoo kabambe hapo.
Ni onyesho ambalo limeteka hisia za mashabiki wa muziki kutokana na ukweli kuwa vikundi hivyo viwili havijawahi kukutana katika katika onyesho la pamoja, ukiondoa yale matamasha yanayoshirikisha wasanii wengi.
Kesho, Ijumaa, Malaika Band ambao hupiga hapohapo Mango Garden, kila Ijumaa, watakuwa Arusha mjini wakitoa burudani.Mwimbaji na Kiongozi wa Kundi la Mashauzi Classic, Aisha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’.
Vilevile, Twanga Pepeta ambao hupiga Mango Garden kila Jumamosi, wasanii hao Jumamosi hii watakuwa Wenge Garden Ukonga. Bendi ya FM Academia ambayo huibuka Mango Garden na kufukia viraka vya bendi zilizopata dharura ya kuhama ukumbi, Ijumaa hii itakuwa Polisi
Kilwa Road wakati Jumamosi itakuwa Leaders Club katika tamasha la Nyama Choma.

Leo ni miaka miwili toka msanii ALBERT MANGWEAH alivyoaga dunia MAY 28, 2013
Wasanii mbalimbali wa muziki wa Bongo
Fleva wakiwa kwenye picha ya pamoja katika kaburi la Albert Mangweah
maeneo ya Kihonda Morogoro.
DAIMA TUTAKUKUMBUKA
PUMZIKA KWA AMANI
‘Nusu Nusu’ ya Joh Makini yaingia kwenye Official African Chart ya MTV Base
Joh Makini anang’arisha tena Tanzania kupitia hit yake mpya Nusu Nusu
ambayo ilifanyiwa video nchini Africa Kusini. Sasa video hii imeshika
namba nane kwenye wiki ya kwanza kwenye chart za video za Afrika kwenye
kituo cha Mtv Base.
Mi ni Team Kiba But I Still love Diamond’s Music, That Boy Can Really Sing – Wema Sepetu
This
is a love and hate type of sh*t. Wema Sepetu amekiri kuwa upande wa
Alikiba lakini bado anazipenda nyimbo za mpenzi wake wa zamani, Diamond.
Unakipata kizungumkuti cha kauli hiyo sio? Hivi karibuni Wema alitengeneza vichwa vya habari kwa kuonesha support kubwa kwa Alikiba (hasimu wa Diamond) katika kumuombea kura za KTMA. Kwa wengi hiyo ilitafsiriwa kama kisasi cha Wema kwa ex wake. Na wengine walihisi Kiba na Wema wana lao jambo! Lipi?
Hata hivyo kupitia kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Jumatatu hii, Wema alisema Kiba ni mtu wake wa karibu tangu siku nyingi na humuita jina la utani ‘bichwa’.
“Ali and I are very good friends,” alisema Wema. “Ali alinitumia meseji kwenye whatsapp akanitumia picha (za KTMA) kama nne, nikamuambia ipi? Akaniambia zote, nikapost zote, akaniambia ntakutumia zingine. Nikamuuliza ‘hivi umetajwa kwenye category ngapi kwenye Kili? Akaniambia saba. Nikamwambia fresh nitumie zote nitakupost. Akaniambia poa na wewe nitumie post zako za Tuzo za watu and I took it as a support, namsupport mshkaji wangu. Mimi ni team Kiba.”
Hata hivyo Wema alisema haoni kama kuna tatizo kama akiwa team Diamond pia.
“I love his [Diamond] music. Mtu akikaa leo akisema kwamba Diamond anaimba vibaya huyo atakuwa ni hater tu, the boy can really sing.”

Ali Kiba na Jokate pamoja tena kama marafiki au …
Bado hawajaongea rasmi kuhusu penzi lao ila mpaka sasa wachambuzi wa mambo wamepigia mstari kuwa Ali kiba na Jokate ni wapenzi.
Jibu hili wamelipata kupitia picha tofauti wanazotuonyesha wawili hawa kwenye mtandao wa instagram wakiwa wawili.
Je picha hizi ni kuwatingisha tuu mashabiki, kuna project wanafanya , ni video, Tutafahamu soon
Diamond Platinmz amedhibitisha kuwa ngoma yake aliyofanya na Mr Flavour imekamilika.
Diamond Platnumz kafanya wimbo na Mr Flavour wa Nigeria,Meneja wake kaongea Haya.
Baada ya kufanya wimbo na P Square, msanii Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa video yake aliyofanya na Mr Flavour wa Nigeria imekamilika na imeshapelekwa kwenye kiyuo cha televion cha Kimataifa BET.
Hii Ndio List Ya Mastaa Wanaomiliki Gari za Gharama Bongo Wako 7 Bofya HAPA
Asilimia
Kubwa ya mastaa Wa bongo wamekuwa wakionekana wakijivinjari katika
mitaa mbali mbali wakiwa katika magari ya kifahari. Lakini ukichunguza
utagundua kuwa wengi Wa wasanii hao siyo wamiliki halali Wa magari hayo.
Baadhi ya mastaa wanaosukuma ndinga za bei Kali apa bongo ni.
1: DIAMOND PLATNUM
Mwanamuziki
anayedaiwa kuongoza kwa kuwa na gari la bei mbaya zaidi nchini ni
Diamond Platnums ambaye kwa sasa anamiliki BMW X6 ambalo linauzwa kwa
thamani ya dola 62,850 za marekani karibu shillingi million 150 za
kibongo.
2: LADY JAYDEE
Anayefuata
ni mwanadada lady jaydee anayemiliki magari mawili ya kifahari ikiwemo
Nissan Murrano alilonunua kwa thamani ya shilingi mil 60 miaka kadhaa
iliyopita na Range rover E lenye thamani ya dola za kimarekani 60,000
sawa ni shilingi mil 100 .
3: AY
Nafasi ya tatu imeshikwa na rapa mkongwe Ambwene yesaya anayemiliki Vogue sports lenye thamani ya sh92 miliion.
4: MASANJA MKANDAMIZAJI
Huyu anamiliki gari aina ya Land cruiser lenye thamani ya shillingi mil. 75
5: MRISHO MPOTO
Namba
tano inamilikiwa na mtaalamu Wa mashairi nchini, mrisho mpoto
anayemiliki Toyota Prado new model yenye thamani ya shilling mil 65.
6: JACKLINE WOLPER
Kwa upande wake muigizaji jackline wolper anamiliki land cruiser Prado lenye thamani ya shillingi mil 65.
7: WEMA SEPETU
Subscribe to:
Posts (Atom)