Tazama hapa video mpya ya King chiwah"Lover lover"akiwa na Hasna
New Video: Linah - No Stress (Official Music Video)
Haya ni time yako sasa kuitazama video mpya ya Linah"No Stress"iliyofanyikia nchini Africa Kusini chini ya Dir-GodFather.
New Video: Yemi Alade - Duro Timi (Official Video)
Music video by Yemi Alade performing Duro Timi. Yemi Alade
iTunes link: https://itunes.apple.com/us/album/dur...
2015 MTV Africa Music Awards "Best Female" award winner Yemi Alade premieres the music visual for "Duro Timi"; a Sizzle Pro produced emotive ballad sheltered on her acclaimed debut album "King of Queens".
Directed Ovié Étseyatsé and co-directed by Taiye Aliyu, the story-telling video was shot in London, United Kingdom. "Duro Timi" is a Yoruba phrase which means "Stay with Me" in English.
"Sometimes, love can pass you by while you're busy making plans."
(C) 2015 Effyzzie Music Group
iTunes link: https://itunes.apple.com/us/album/dur...
2015 MTV Africa Music Awards "Best Female" award winner Yemi Alade premieres the music visual for "Duro Timi"; a Sizzle Pro produced emotive ballad sheltered on her acclaimed debut album "King of Queens".
Directed Ovié Étseyatsé and co-directed by Taiye Aliyu, the story-telling video was shot in London, United Kingdom. "Duro Timi" is a Yoruba phrase which means "Stay with Me" in English.
"Sometimes, love can pass you by while you're busy making plans."
(C) 2015 Effyzzie Music Group
BASATA imemfungia Shilole mwaka mmoja, hakuna kufanya muziki
Breaking news zilizoifikia
saa nne usiku wa July 30 2015 kutoka Baraza la sanaa Tanzania (BASATA)
ni kwamba baraza hili limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote
ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika
onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya
wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya
kitanzania kimaadili‘‘BASATA ilipata habari zako,
kumbuka pia October 2013 BASATA lilikuonya na ukakiri kwa kuomba msamaha
tabia yako ya kucheza bila kuzingatia maadili uwapo jukwaani, BASATA
ilikupa nafasi ya kutoa maelezo kwanini usichukuliwe hatua za kinidhamu
kwa kitendo chako lakini umekaidi kutoa maelezo yako‘ – BASATA‘Baraza limejiridhisha kwamba
ulikiuka maadili ya kazi ya sanaa kwenye onyesho lako huko Ubelgiji
makusudi na umekiuka sheria kwenye ibara ya 30 (2) ya katiba ya jamuhuri
ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kwa kuvunja maadili ya jamii ya
Mtanzania hivyo baraza linakusimamisha kujishughulisha na kazi za sanaa
nchini na nje ya nchi kwa mwaka mmoja, kufanya kinyume na hayo
kutapelekea kupewa adhabu zaidi pamoja na yeyote utakaeshirikiana nae ‘ – BASATA
New Video: Ramso Ramsey ft. Barnaba – Wangu (Official Video)
Tazama hapa video mpya ya Ramso Ramsey"Wangu"akiwa na Barnaba.Imefanyika katika studio za KIRI RECORD chini ya producer RASH DON
New Music: Linah - No stress | Download
Linah ameachia rasmi ngoma yake mpya "No Stress"unaweza sasa kubofya hapo kuisikiliza na kudownload..
New Video: Hemedy Phd - Imebaki Story (Official Video)
Mwimbanji wa bongo fleva na muigizaji wa bongo Movie Hemed PHD
ametubariki na video yake mpya iliyofanyika mikoa tofauti ambayo ni Dar
es salaam ,Morogoro, Arusha kwenye maeneo ya ziwa Duluti Tengeru na
Manyara. Video inaitwa Imebaki Story na imetayarishwa na Msafiri
Shabani.Edited by Adam Juma.
Bonyea play kuitazama.
Bonyea play kuitazama.
Video: Rais Obama akicheza wimbo wa Sauti Sol Kenya.
Picha ya pamoja ya Sauti Sol na Barack Obama |
Rais wa Marekani Obama yuko nchini Kenya kwenye ziara ya siku tatu
ambapo pia amekutana na ndugu zake akiwemo dada yake na Bibi yake. Obama
ni mcheshi sana na mtu anaependa vituko vya hapa na pale..Katika halfa iliyofanyika leo Kundi maarufu la muziki nchini Kenya Sauti
Sol lilipata mualiko maalum kutumbuiza katika hafla hiyo…Obama aliweza
kushiriki katika kucheza nyimbo ya Sura yako…hebu cheki video hapa
chini….
Sasa Ni zamu Ya Collabo Ya Davido na Allykiba kwenye track moja
Star Kutoka Nigeria ambaye pia ni mshindi wa Tuzo ya MTV mama Best Male
Davido anayetamba na track aliyomshirikisha Meek mill - Fans Mi
anatarajia kuachia kollabo ambayo alitangaza kuwa itamhusisha mkali
mwingine toka Tanzania Allykiba
BOFYA HAPA KUTAZAMA VIDEO YA DAVIDO AKIFANYA MAHOJIANO
BOFYA HAPA KUTAZAMA VIDEO YA DAVIDO AKIFANYA MAHOJIANO
Diamond Platnumz ashinda tuzo nyingine Afrika Kusini ‘African Achievers Awards’.
Msani wa bongo fleva Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya ‘African
Achievers Awards’ katika tuzo zilisofanyika Afrika kusini, Tuzo
aliyoshinda Diamond ni ya Artist of the Year ‘Msanii Bora Wa Mwaka’.Msani wa bongo fleva Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya ‘African
Achievers Awards’ katika tuzo zilisofanyika Afrika kusini, Tuzo
aliyoshinda Diamond ni ya Artist of the Year ‘Msanii Bora Wa Mwaka’.
“Nana” ya Diamond na “Chekecha” ya Ally Kiba katika Top 10 ya Radio maarufu ya Nigeria.
“Nana” ya Diamond na “Chekecha” ya Ally Kiba katika Top 10 ya Radio maarufu ya
Muziki wa Tanzania unaendelea kufika mbali
zaidi kwa kutoa wasanii wakubwa wanaofanya vizuri kama Diamond Platnumz.
Ally Kiba ni mmoja ya wasanii kutoka Tanzania ambae anafanya vizuri kwa
sasa na nyimbo yake ya Chekecha.Nyimbo ya Chekecha inaendelea kufanya poa Afrika baada ya kuingia katika Top 10 za Radio maarufu ya Nigeria iitwayo THE BEAT 99.9FM, chekecha katika wiki hii imeshika nafasi ya tisa.
Katika chart hiyo ya “Nana” ya Diamond aliyomshirikisha Mr Flavour imekamata nafasi ya pili katika wiki hii…Big up Ally Kiba na Diamond Platnumz kwa kuendelea kutuwakilisha vizuri kimataifa.
Hemedy kuachia video yake mpya "IMEBAKI STORY"wiki ijayo tar July 30 2015
Video hiyo imefanyika hapa hapa Tz katika maeneo mbali mbali ikiwo Morogoro,Manyara,Arusha na Dar es Salaam.Video hiyo imegarimiwa milioni 15 na imeongozwa na Kwetu Studio.
Vanessa Mdee na Nisher wampongeza Hemedy kwa uthubutu anaofanya msani huyo.Hii ni post ya Dir-Nisher,
Kaa tayari kupokea ngoma hiyo....
Vanessa Mdee na Nisher wampongeza Hemedy kwa uthubutu anaofanya msani huyo.Hii ni post ya Dir-Nisher,
Kaa tayari kupokea ngoma hiyo....
New Music: Shilole & Nuh Mziwanda [Shiwonder] - Ganda La Ndizi | Download
Shishi Baby na baby wake Nuh Mziwanda wanakuletea ngoma mpya iitwayo"GANDA LA NDIZI"Unaweza kuisikiliza na kudownload hapo.
New Video: Navy Kenzo Feat. Vanessa Mdee - Game (Official Music Video)
Video mpya ya Navy Kenzo "GAME"Waliyomshilikisha mwanadada anayefanya vizuri Vanessa Mdee imetoka.Video directed by Justin Campos of Gorilla Films,Unaweza kuitazama hapo..
Wema Sepetu ashindwa vibaya kwenye kura za maoni singida viti maalumu…
Wema sepetu ni mmoja ya wasanii waliochukua fomu ya kugombea ubunge viti
maalum singida, Leo ilikuwa ni siku ya upigaji wa kura za maoni ambapo
Wema Sepetu amekuwa wa mwisho katika matokeo.
New Video: D’banj ft Ice Prince – Salute (Official Video)
MAMA Evolution winner D’banj is giving us hits after hits now and am
seeing a major comeback here for the Nigerian music mega superstar. We
gave you the audio for Salute featuring Ice Prince Zamani some days ago
and finally you get to watch the official video for the single.
Ramadhani Masanja Banza Stone afariki dunia mchana huu..kaka wa marehemu Hamiss Masanja amethibitisha kutokea kwa kifo hicho.....
Staa wa Muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan
Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia mchana huu baada ya kuugua kwa
muda mrefu. Kaka wa marehemu aitwaye Hamis amethibisha msiba huo.
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Banza alikuwa anasumbuliwa na fangasi waliokuwa wanamshambulia kichwani (ubongo) na shingoni.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Banza alikuwa anasumbuliwa na fangasi waliokuwa wanamshambulia kichwani (ubongo) na shingoni.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN
New Music: B.O.B Micharazo - Kazi Kwanza | Download
B.O.B Micharazo wameachia ngoma mpya iitwayo"KAZI KWANZA" ndani ya kundi hili kuna Mr Blue, Nyandu Tozzy, Becka Tittle, Blood Gazza, Baby MC, Uswege master, Cotton, Ivason.Unaweza kuisikiliza hapo..
New Video: Jidenna ft Kendrick Lamar – Classic Man (Official Video)
Preorder "Wondaland Presents: The Eephus" at iTunes: http://smarturl.it/TheEephus
Diamond Platnumz Ametajwa Tena Kuwania Tuzo Hizi Za Nchini Marekani.
Wakati
Watu wakiwa na hamu ya kupata matokeo ya tuzo za MTV ambazo Diamond ni
mmoja wa washiriki katika Tuzo hizo Diamond anazidi Kupata nafasi
zaidi baada ya kutajwa katika tuzo za African Entertainment Awards za
Nchini Marekani.
Diamond
amekuwa nominated katika vipengele viwili ambavyo ni Hottest
Male(Msanii bora wa kiume) na Single Of The Year(wimbo bora wa
Mwaka-Ntampata Wapi).
Diamond
amepost katika mtandao wa Instagram akitoa shukran zake...ameandika
"Naomba niwashkuru wadau na Mashabiki zangu wote kwa support kubwa
mnayozidi kunipa... Niwashkuru wote mlokuwa Mkihamasisha na kupiga kura
katika tunzo za #Mtvmama2015 Hakika ni upendo Mkubwa..kijana wenu now
nimetua South Africa tayari kwajili ya Kujiandaa kwa show nk... ila pia
wakati nimetua nimekutana na Habari nyingine nzuri...kuwa Nimechaguliwa
kwenye Tunzo za Marekani ziitwazo @AfricanEntertainmentAwards Kama
Msanii Bora wa Kiume Africa na Nyimbo bora ya Africa #NtaMpataWapi Hii
ndio Account yao @AfricanEntertainmentAwards Ntawajuza namna ya Kupiga
kura Soon".
New Video: B.O.B Micharazo – Kazi Kwanza (Official Music Video)
Brand New Video By B.O.B Micharazo Artist: Mr Blue, Nyandu Tozzy, Becka
Tittle, Blood Gazza, Baby MC, Uswege master, Cotton, Ivason
New Video: Real Jofu Ft. Ney Lee - Kumbe ni Ndugu (Official Video)
Video mpya ya Real Jofu"Kumbe ni Ndugu"Akiwa amemshilikisha mwanadada Ney Lee imetoka..Sasa unaweza kuitazama hapo..
Cooming Soon: G-Nako feat Nikki Wa Pili - Laini
Kaa tayari kuipokea ngoa mpya ya G-Nako iitwayo"LAINI"akiwa amemshilikisha Nikki wa Pili.Endelea kutembelea hapa.
New Video: Galatone - Sina Mali (Official Music Video)
Watch and share the brand new music video "Sina Mali" by Tanzania bongo flava artist Galatone.
Director - Allen Massala | Studio - Chaiderz Records
Producer - Christone | Kapasta4real_Project
FITNER AFTER FITNER_TZ
Director - Allen Massala | Studio - Chaiderz Records
Producer - Christone | Kapasta4real_Project
FITNER AFTER FITNER_TZ
New Video: Sefiya ft. Iyanya – Nwayo Nwayo"Remix" (Official Video)
Tazama hapa Video mpya ya msanii kutoka Nigeria Mwanadada Sefiya akimshirikisha Iyanya
wimbo unaitwa “Nwayo Nwayo (Remix)”
New Video: Tunda Man - Tufungeni na Kuswali (Official Video)
Tunda Man ameachia video ya "Tufungune na Kuswali"iliyoongozwa na Director_ABYKAZ.Bofya hapo kuitazama sasa...
New Video: Mesen Selekta - Sweet Love (Official Video)
Mesen Selekta anakuletea video yake mpya ya nyimbo iitwayo"Sweet Love"Video hii imeongozwa na directed Ivan (Shine Studioz).Itazame hapo..
New Video: Iyanya - Applaudise (Official Video)
Baada ya kudondosha video ya Nakupenda alioshirikiana na Bongo Superstaa Diamond Platnumz,Msanii maarufu kutoka Nigeria Iyanya leo hii amerudi na kichupa kipya.Wimbo unaitwa Applaudise na hapa chini nimekusogezea video yake. Bonyeza play kuitazama.
Picha,Diamond Platnumz akibusu tumbo la Zari, natamani mjue jinsi navyompenda Zari.
Staa wa ‘Nana’ Ft Mr Flavour Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa
anatamani watu wajue jinsi anavyompenda Zari Tlale aka Zari The Boss
Lady.
Kama wewe ni shabiki basi ni hii ni nafasi yako ya kujua kuwa wapenzi hawa wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mwezi ujao.
Kama wewe ni shabiki basi ni hii ni nafasi yako ya kujua kuwa wapenzi hawa wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mwezi ujao.
Subscribe to:
Posts (Atom)