New Video: Chriss Bee ft Petronia - Bashee (Official Music Video)
Hii ni video ya pili ya Msanii "Chris Bee", na hii video ni ya wimbo wa "BASHEE" aliomshirikisha Mwanadada "Petronia" na kusimamiwa na mwongozaji "Nicklass" kutoka kampuni ya Imagenation..
New Video: Chris Brown - Fine By Me (Official Video)
Stori ya video hii inaanzia pale ilipoishia stori ya single ya awali Liquor/Zero ambapo time hii Chris Brown anaonekana
anatoka kwenye duka na marafiki zake na ghafla anakutana na mdada
mrembo anaemshawishi amfuate anakoelekea, baada ya hapo Chris anaonekana akibalisha nguo kisha anapokea vitisho kwa mtu asiyemjua kwenye screen kubwa ya TV… Kinachofuata?Kudaka muendelezo wa stori nzima, bonyeza play hapa chini ikupeleke moja kwa moja kuzitazama dakika tano za kinachotokea mbele ya safari.
New Music: Heri Muziki - Cheche | Download
Heri
Muziki returns to the music scene after completion of Advanced Level
Education. This brand new single called CHECHE comes as a follow up of
his previous record entitled WATU which was released back in February
this Year. Heri Muziki is working with BVC Entertainment and Pixel Base
with a recording contract with Mswaki.
Heri Muziki’s new single is uptempo R&B vibe. The single was written and Produced by Mswaki.
New Video: Sauti Sol - Live and Die in Afrika (Official Music Video)
Live and Die in Afrika is the "LIVE AND DIE IN AFRIKA" album title track . The album is a celebration of the African continent coming of age, flaunting the richness in cultural diversity , talent and resources. And now we finally have a generation that fully believes in this continent and her great potential.African diaspora is on a mission to reconnect with their roots, be it through music or other media. There is a willingness to aspire everything and anything African. “In California, they have been dancing to Sura Yako,” (Barack Obama). They sing and dance to the same tune at a wedding in Moshi, Tanzania. There is a willingness to Live and Die in Afrika. These are the united minds of Africa. Minds that will LIVE AND DIE IN AFRIKA!
New Music: Nay Wa Mitego - Nyumbani Kwetu | Download
Kutoka kwa Nay Wamitego. Anakuletea Wimbo mpya unaoitwa NYUMBANI KWETU.
Hizi ni ladha na style mpya ukiangalia muziki ambao tumezoea kumsikia Nay
akiwa anafanya. Lakini kipaji kinamruhusu kufanya vitu vya tofauti na basi
ni wajibu wake kisanaa kufanya vitu tofauti. Jipakulie hapa....
New Video: Alawi Junior ft.Barnaba Classic - Bado (Official Video)
Alawi Junior is one of the Bongo Music Star from Tanzania The video was shot in Dar Es Salaam by Kwetu Studios
New Video: Pah One ft Christian Bella - Magoma (Official Music Video)
After banging with their track titled "Kizubaneta" 7 months ago, Pah One
features Christian Bella in their new track called "Magoma" which is
produced by Ema The Boy and directed by Minzi Mims.
New Video: Harmonize - Aiyola (Official Video)
Harmonize is one of the artists signed under WCB Wasafi Record Label
which is under Diamond Platnumz.The video was shot in Jo'burg South
Africa by Director Nick Roux
Subscribe to:
Posts (Atom)