Waje Amemwagia Sifa Kibao Diamond Platinumz Kwa Kuwapoteza P-Square
Diamond Platnumz yupo kwenye ligi nyingine kabisa sasa hivi. Staa
huyo amewapiku mapacha wanaopendwa zaidi barani...> Afrika kwa views za
video yao mpya ‘Shekini’.
Video ya mapacha hao iliyowekwa November 17, hadi sasa ina views
326,669 (zinazoongezeka) na wakati video ya ‘Ntampata Wapi’ ya Diamond
iliyowekwa November 20 ikiwa na views 419,935 (zinaongezeka).
Shekini hadi sasa ina comments 313, likes 3523 na dislikes 96 huku
Ntampata Wapi ikiwa na comments 805, likes 3458 na dislikes 406.
Wakati huo huo, msanii mwingine wa Nigeria, Waje amemwagia sifa kibao
Diamond na kudai kuwa alimshawishi kutoitoa ngoma yao kabla ya kufanya
video yake kitu ambacho anakishukuru.@paulmkale
“My #MCM is @diamondplatnumz from Tanzania. We have a song
together that hasn’t been released yet and thanks to this man who made
sure my excitement didn’t let me release it without a video. Now the
excitement has doubled emojiemojiemoji shout to you my brother, your
work ethic is inspiring. #perfection should always be the goal not a
fluke,” ameandika Waje
ametisha kk
ReplyDelete