Msanii toka mwanza King Silver anatarajia Kuachia ngoma mpya inayokwenda
kwa jina la Nahamia mbele Aliyoifanya ndani ya Studio ya Sheyrey Music
Mwanza Chini ya Producer Kazimoto
Akiongea na Blogger wa Blog Hii King silver alisema ''Tayari Audio
Nimeishaitengeneza na Sasa Najipanga kwa ajili ya video ndio sababu bado
nasubiria ili niachie zote kwa mpigo ,kwa hio nawaomba mashabiki zangu
wakae mkao wa kula ''
No comments:
Post a Comment
paulmkale