New Audio : Jaffarai ft Cassim mganga- Wakati/Download

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu msanii mkongwe BONGOFLEVANI, Jaffarai leo ameachia single yake mpya akiwa amemshirikisha msanii Kassim Mganga, wimbo unaitwa ‘Wakati umefanywa na producer Aloneym wa Pesa Records.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jaffarai ameweka picha ya cover ya wimbo huo na kuandika ujumbe huu; “Mzigo ndo unaachiwa rasmi siku ya leo… Designed by@anko_k_tz“@

No comments:

Post a Comment

paulmkale