New Music:Nikki Wa Pili Feat. Joh Makini,G Nako,Nahreel,Aika,Jux & Vanessa Mdee - Safari | Download
Nick Mweusi a.k.a Nikki wa Pili tayari amekuletea wimbo wake mpya unaoitwa
"SAFARI". Ngoma imerekodiwa *Industry Studio* chini yaproducer *Nahreel* na
ndani wameshirikishwa Joh Makini, Aika G-Nako, Vanessa, Mdee, Jux na
Nahreel.Sikiliza na Download hapa
No comments:
Post a Comment
paulmkale