New Video: Chris Brown & Tyga – Ayo(Official Music Video)

Chris Brown na Tyga wametoa video mpya ya wimbo wao “Ayo” ambao ndio wa kwanza kutoka kwenye project yao ya pamoja “Fan of a Fan: The Album”. Album hiyo imepangwa kutoka February 24.

No comments:

Post a Comment

paulmkale