New Video : J’odie - Right Now(Official Music Video)

Star wa Nigeria aliyekaa kwenye chati kubwa Afrika na Hits Single yake ya Kuchi Kuchi, J’odie kutoka Nigeria amedondosha mzigo wa videoo mpya, hii inaitwa ‘Right Now’ .

Video imefanywa ndani ya Nigeria kwa mikono ya director Ichiban Kukardi, wimbo ulitengenezwa na producer David Nnaji.

Unaambiwa ile ya kwanza ilikuwa hit miaka miwili baada ya J’odie kuiachia 2011, tumia dakika zako 4 kuitazama video hii mtu wangu itashika chati mapema au itakuwa kama ile ya kwanza.Bofya hapa kutazama

J'odie - Right Now (Official Video)

No comments:

Post a Comment

paulmkale