New Video: Presh Ft. Davido – Say Dem Say(Official Music Video)

Davido ni mmoja ya wasanii wa Afrika ambao wamekubalika kwa nguvu kubwa sana na fans wa muziki, sio kwa uzuri wa ngoma za peke yake ila hata ukiangalia list ya collabo kali alizowahi kufanya na mastaa wengine ikiwemo ‘Gallardo’ ya Run Town, ‘Shoki’ ya Kash, ‘My Number One Rmx’ ya Diamond Platnumz, ‘Daddy’ ya Reminisce, hizo ni chache kati ya zile nyingi kali.

Hii ni mpya ya staa mwingine kutoka Nigeria, anaitwa Presh ft. Davido wimbo unaitwa ‘Say Dem Say’

No comments:

Post a Comment

paulmkale