Rapa Joh Makini akiwa studio na rapa KO Wa Afrika Kusini
Joh Makini amekutana na Rapa KO wa kundi la Tearsgas, halafu Joh ameweka picha Instagram wakiwa ndani ya studio na kuandika; “#Studio_flow
with #KO @mrcashtime himself #2KINGS #ARUSHA_MEETS_JOHANNESBURG #2015
#GODENGINEERING #WEUSIMEETSCASHTIME #amonmyway” –@joh_makini
Katika harakati za kuhakikisha muziki
unaenda kwenye level za kimataifa, tumeona juhudi za wasanii
wetu wakiongeza nguvu na kujisogeza wenyewe kwenye level hizo kila siku.
Kila la kheri kwa mtu wetu MWEUSI Joh Makini kama kitatokea chochote kwenye muunganiko huu basi nitakusogezea pia.
No comments:
Post a Comment
paulmkale