Kaa Tayari: Ommy Dimpoz kudondosha ngoma mpya leo hii
Wakati video ya Ommy Dimpoz aka Omary Nyembo ‘Wanjera’ imeshaanza
kuchezwa kwenye kituo cha kimataifa cha TraceTv, tumepata cover za audio
ya wimbo huu unaotoka leo saa nne asubuhi.
Kwenye cover hizi tunamuona Ommy Dimpoz akiwa na staa wa filamu Tanzania Wema Sepetu.
No comments:
Post a Comment
paulmkale