New Video: Kcee, Harrysong, Iyanya - Feel It (Official Music Video)

Ikitokea ikawekwa list ya wakali wa Nigeria basi Kcee hawezi kukosa kutokana na nyimbo zake kufanya poa sana kwenye muziki.
Leo nimekusogezea wimbo wake mpya, ni collabo yake mpya mtu wangu aliyowashirikisha wakali  Harry Song na Iyanya inayoitwa ‘Feel It’ unaweza kuitazama hapa mtu wangu..

No comments:

Post a Comment

paulmkale