New Video: Linex feat Diamond Platinumz - Salima(Official Music Video)
Linex na Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa wanaounda kundi la
Lekadutigite ambalo ni ndani yake lina mastaa wengine kama Ali
Kiba,Recho,Abdul Kiba,Baba Levo,Mwasiti,Queen Darlin na wengine wengi.
Linex kwenye kolabo hii amesema kuwa haikuwa imepangwa yaani ni
miongoni mwa kolabo ambazo yeye na Diamond haikupangwa,Diamond aliukuta
wimbo studio akaupenda akamfahamisha Linex wakaamua kufanya kwa pamoja
singo inaitwa Salima,hii ni singo ya pili kwa Linex kufanya na Diamond
baada ya ile ya kwanza iliyoitwa Nitaificha wapi.Itazame video hii hapo chini.
No comments:
Post a Comment
paulmkale