Nisher adai Hanscana ame ‘copy na kupaste’ idea ya video ya Ju kutoka kwenye video ya ‘XO’
Baada ya muimbaji wa R&B Jux kuachia video ya single yake mpya ‘Nikuite
Nani’ iliyoongozwa na Hanscana, Nisher amem-mind Hanscana kwa madai kuwa
amecopy na kupaste idea ya video hiyo kutoka kwenye video ya ‘XO’ ya Joh
Makini.
Hanscana | Nisher Nisher leo asubuhi kupitia akaunti yake ya
Instagram alipost picha aliyounganisha screenshot za video.
No comments:
Post a Comment
paulmkale