Taarifa nyingine Mdogo wa Jose Chameleone, AK47 afariki dunia

Muimbaji wa dancehall, AK47 wa Uganda ambaye ni mdogo wa Jose Chameleone, Weasel na Pallaso amefariki dunia. Taarfifa zilizoripotiwa na mitandao ya Uganda zinaeleza kwamba Emmanuel Mayanja a.k.a AK47 alifariki usiku wa Jumatatu (March 16) baada ya kuteleza na kudondoka vibaya bafuni. Alithibitika kuwa amefariki akiwa hospitali ya Nsambya alipokimbizwa na marafiki.
Jose Chameleone na Weasel wakiwa mbele ya mwili wa AK47

No comments:

Post a Comment

paulmkale