Video ya Ommy Dimpoz na Wema Sepetu Iliyoleta Ngumzo Hii Hapa..Wanjera
Ommy Dimpoz na Wema Sepetu walichukua headlines kwa zaidi ya mwezi
mmoja kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusambaa kwa picha zenye utata
zikiwaonyesha wakiwa mapenzini na ikapelekea watu kujua labda Ommy
ameamua kurithi kiti cha Diamond Platnumz.
Kumbe bwana ilikua ni video mpya ya Ommy aliyokwenda kuifanya South
Africa na imemuhusisha Idriss wa BBA
No comments:
Post a Comment
paulmkale