Picha 10 ya kilichofanyika studio kati ya Alikiba na Sauti Sol
Usiku wa kuamkia tarehe 19, August 2015, jijini Nairobi nchini Kenya,
historia mpya imetengenezwa katika kiwanda cha muziki wa Afrika
Mashariki. Wasanii wa Kenya Sauti Sol na mwanamuziki kutoka Tanzania,
Alikiba wamekamilisha wimbo wao wa pamoja waliotangaza kuufanya wiki
kadhaa zilizopita. Alikiba akiwasilia studio na team yake tayari kuanza kurekodi na Sauti Sol
Alikiba akisalimiana na wasanii wa Sauti Sol
Alikiba na Bien wa Sauti Sol wakizungumza
Kundi zima la Sauti Sol kwenye picha ya pamoja na Alikiba
No comments:
Post a Comment
paulmkale