
Diamond Platnumz ametajwa katika tuzo za MOREKLUE ALL YOUTH AWARDS 2016 (MAYA Awards) ambapo ametajwa katika kipengele cha African Music Act akishindana na Wizkid,Sarkodie,Fuse ODG,AKA,Davido,Olamide na Cassper Nyovest.
Hongera sana Diamond Platnumz.
No comments:
Post a Comment
paulmkale