Meli ya
MV Serengeti jaana imekwama kufika Bukoba kutokana na kupata hitilafu
katika propera zake, na inadaiwa kuwa ilipita eneo zilipotegwa nyavu za
wavuvi na kusababisha taabu.
Meli hiyo ilianza safari ya Mwanza – Bukoba jana jioni na kwa kawaida ilitakiwa kuwasili Bukoba saa 12 jana asubuhi.
Tayari Kampuni ya MCS imetuma wazamiaji eneo la tukio kuangalia namna ya kunusuru abiria waliokuwa katika meli hiyo.
Hii ni taarifa iliyotolewa na Marine Services Company Ltd baada ya tatizo hilo
No comments:
Post a Comment
paulmkale