DOWNLOAD MP3: Diamond Platnumz X Alikiba – Monalisa


diamond alikiba
Kaa tayari kuupokea ujio huu mpya na wakipekee kabisa ambao mashabiki wa huu mziki wa bongo flava hawakutegemea kabisa ni kati ya Diamond Platinumz na Alikiba wakutana katika collabo yao mpya Iitwayo"MONOLISA"Na hiki ndo mashabiki wengi walichokuwa wakikisubilia kwa hamu..Audio imetayarishwa na Nahreel na Video imeongozwa na GodFather.Ungana nami hapa kuipata ngoma hii punde itakapoachiwa rasmi@paulmkale.....

No comments:

Post a Comment

paulmkale