Video Tears: Ommy Dimpoz ft Ali Kiba - Beautiful


 Pamoja na kumtambulisha Nedy siku si nyingi tutegemee bonge moja la kolabo kati ya Ommy Dimpoz na Ali Kiba. Ndio! Ni huyu huyu Kiba mshindani mkubwa wa Diamond Platnumz. Tumepata Exclusive video ya Ommy Dimpoz na Ali kiba wakiwa studio wakirecord wimbo wao huo. Skiliza kionjo kidogo cha wimbo huo hapa chini kwenye video.

No comments:

Post a Comment

paulmkale