Video: Rich Mavoko Atambulishwa Rasmi katika familia ya WCB

 Diamond Platnumz na timu yake ya WCB wameongozana Mpaka Basata Kwa lengo la kumtambulisha rasmi RICH MAVOKO kama mmoja wa wasanii watakaokuwa chini ya Label ya WCB.

Katika Mtandao wa instagram Diamond Platnumz amepost picha na kuandika "Wolcome to the Family @richmavoko Let's take Bongo fleva to the world!".

Nimekuwekea video fupi hapa chini! wakati Diamond Platnumz na timu yake walipokuwa BASATA:

No comments:

Post a Comment

paulmkale