Showing posts with label MICHEZO. Show all posts
Showing posts with label MICHEZO. Show all posts

Ishu Ya Tambwe Kuondoka Yanga Afunguka Haya Leo


Image result for amissi tambwe

MSHAMB-ULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Amissi Tambwe raia wa Burundi ameibuka na kuweka wazi kwamba katika kipindi hiki cha usajili hana mpango wowote wa kuondoka ndani ya timu hiyo kutokana na kujiona ana deni la kulilipa baada ya kushindwa kuonyesha makali msimu uliopita.Mshambuliaji huyo hakuwa na msimu mzuri katika msimu uliomalizika hivi karibuni baada ya kuandamwa na majeraha ya kila mara ya goti ambayo yalimsababisha kumaliza ligi akiwa hajafunga bao lolote lile.
Akizungumzia juu ya mustakabali wake ndani ya kikosi hicho, Tambwe ambaye yupo kwao kwa ajili ya mapumziko baada ya ligi kumalizika mshambuliaji huyo amesema hawezi kuondoka katika timu hiyo kwa sasa kufuatia kuvumiliwa kwa msimu mzima huku akiwa na majeraha ya mara kwa mara ambapo anataka kulipa fadhila kwenye msimu ujao.

“Kwa msimu uliopita sikuwa na kiwango kikubwa hivyo ninajiona kwamba nina deni la kulipa kwa Yanga ambao wamenivumilia licha ya kwamba nilikuwa na majeraha, ninachofanya sasa ni kujiandaa kwa ajili ya msimu ujao niwe vizuri,” alisema mshambuliaji huyo.

Uswizi Yaitandika Serbia 2-1 Dakika za Majeruhi

Switzerland imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Serbia katika mchezo wa kundi E

Mabao ya mchezo huo yalifungwa na Mitrovic mnamo dakika ya 5 tu ya mchezo kwa upande wa Serbia huku la Switzerland likiwekwa kimiani na Granit Xhaka mnamo dakika ya 52 kabla ya Xherdan Shaqiri kuongeza msumari wa mwisho dakika ya 90 ya mchezo

Xhaka ambaye hivi karibuni amesaini mkataba wa muda mrefu kuitumikia Arsenal ameweka rekodi ya kupiga jumla ya pasi 71 ambazo hazijapigwa na mchezaji yoyote wa Urusi katika michuano hiyo tangu 1996.

Matokeo hayo yanaifanya Uswizi kuwa pointi sawa na Brazil katika kundi E lakini ikishika namba 2 kutokana na idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa.

Hiki Kikosi cha Simba cha Sasa Kufuru Tupu

Hiki Kikosi cha Simba cha Sasa Kufuru Tupu
SIMBA walianza kumsainisha Marcel Kaheza wa Majimaji, akafuatia Adam Salamba wa Lipuli. Mashabiki wakaguna…aaah jamaniieee watacheza wapi wote hao mastraika?



Huku na huku mara wakamshusha tena Mohammed Rashid wa Prisons, Yanga wakaibuka wakaaanza kulalamika kwamba Simba wanatibua tu michongo yao makusudi kwa vile wana mkwanja.



Wadau walikuwa wakigunia usajili wa mastraika hao watatu kwa vile wote wana sifa zinazokaribiana na waliongoza kwenye timu zao msimu uliopita. Salamba alikuwa na mabao sita pale Lipuli, Rashid alikuwa na 10 huko Prisons na Kaheza 14 pale Majimaji.



Kumbe bwana hicho kilichofanyika siyo bahati mbaya ni mipango matata sana ya mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ kuhusiana na usajili mpya wa kikosi hicho msimu ujao.



MO amewaambia viongozi wa Simba kwamba usajili wa msimu ujao anataka uwe wa tofauti sana na ndiyo maana utafanyika na watu wachache sana akiwemo yeye na Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah ‘try again’ chini ya muongozo wa ripoti ya makocha.



Kiongozi huyo anayefahamika Afrika nzima kwa utajiri na mbinu za ujasiriamali amewaambia vigogo wa Simba kwamba anataka kila nafasi uwanjani iwe na wachezaji wawili imara sana yaani aliyeko kwenye benchi awe mkali kuliko aliyeanza ili iwe bandika bandua.



Championi Jumatano, limebaini kwamba huku akiendelea kusuka kikosi hicho tayari mazungumzo baina yake na makocha kadhaa kutoka Ulaya Kaskazini na Ubelgiji anaotaka waje kuinoa Simba yamefikia pazuri lakini ni siri kubwa hata viongozi wengine hawajui ni nini kinaendelea.



“Kila nafasi anataka iwe na wachezaji imara sana yaani kwenye benchi kuwe na straika mkali kuliko Okwi na Bocco. Na anataka hilo lifanyike kwenye nafasi zote, kuwepo na vikosi viwili imara sana ambavyo havitazuilika kwenye ligi za ndani na michuano ya kimataifa.



“Lakini hao wachezaji imekuwa ni siri sana anafanya yeye na Salim, hakuna yale mambo ya kamati kama zamani,”alidokeza kiongozi mmoja wa Simba ambaye aliongeza kwamba hata Obrey Chirwa wa Yanga alikuwa kwenye mipango yao lakini wamesikia amepata dili Misri katika klabu kongwe ya Ismailia,” kilisema chanzo hicho.



Habari za ndani zinasema kwamba MO ambaye ni Simba wa kulia machozi hatumii tena kamati maalum ya usajili kama ilivyokuwa siku za nyuma ndio maana mambo mengi yanakwenda kwa siri sana na habari zinasema amekuwa akisisitiza hivyo pia ili kuepuka ‘cha juu’.



Habari zinasema kwamba viongozi wengi wa Simba ambayo imeshampiga chini straika kipenzi cha msemaji wa Simba, Haji Manara, aitwae King Laudit Mavugo wameafiki anachofanya MO kwa sasa kwenye usajili kwani kitajenga timu imara ambayo itakuwa na ushindani mkubwa na itawasaidia kuonyesha mabadiliko ambayo yameanza kuonekana kwenye uendeshaji.



Habari zinasema kwamba MO amepania kusajili mchezaji wa gharama yoyote ndani ya Afrika na hata kwenye mkutano mkuu wa wanachama alithibitisha hilo na kupigiwa makofi yenye kilo nyingi.



Simba ambayo itashiriki michuano ya Kagame inayoanza Juni 29, Jijini Dar es Salaam, inajiandaa pia na Ligi ya Mabingwa Afrika inayoanza Desemba mwaka huu badala ya Februari kama ilivyozoeleka.



Baadhi ya timu ngumu za Afrika ambazo mpaka sasa zimefuzu Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao ni pamoja na Esperance na Club African za Tunisia, Al Ahly na Ismailia zote za Misri.

LEO NI ZAMU YA SIMBA, INAPAMBANA NA PRISONS KATIKA MECHI YA POINTI, MECHI YA KISASI


Ukisema leo ni zamu ya Simba itakuwa sahihi kabisa. Kwa kuwa inashuka dimbani pale Taifa jijini Dar, kucheza mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Prisons.

Prisons ni kati ya wababe wa Simba kwa kuwa ni kati ya timu mbili pekee zilizoifunga Simba msimu huu. Ilianza kwa kuifunga kwa bao 1-0 katika mechi ya mzunguko wa kwanza mjini Mbeya, halafu ikafungwa na Yanga mechi zote mbili, kila moja bao 2-0.

Hivyo Simba inaingia uwanjani leo kutaka kuimaliza Prisons kwa maana ya kupata pointi pia inataka kulipa kisasi cha kipigo.

Itakuwa ni mechi ngumu na ya presha ingawa kwa Simba, kikubwa inachotaka ni ushindi ili iongeze pointi zaidi na kujichimbia kileleni zaidi.


Ina pointi 51, inafuatiwa na Yanga yenye pointi 50 halafu Azam FC yenye 47. Hivyo ushindi wake utaifanya ijichimbie zaidi kileleni wakati Yanga na Azam watakaporejea watakuwa wanajivunia mechi zake za mkononi ambazo pia lazima wazifanyie kazi.

MBEYA CITY YAONGEZA POINTI TATU IKIITULIZA STAND UNITED KWA KUITWANGA MABAO 2-0



Mbeya City imepata ushindi wake wa sita katika Ligi Kuu Bara baada ya kuishinda Stand United kwa mabao 2-0.

Katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, wenyeji Mbeya City walikwenda mapumziko wakiwa wanaongoza kwa bao moja lililofungwa na Raphael Alfa.

Kipindi cha pili waliongeza bao jingine kupitia beki wake Ramadhani Shamte na kuwapunguza kasi Stand United waliokuwa wakipambana kusawazisha.


Kwa ushindi huo, Mbeya City sasa wamefikisha pointi 24 na kupanda hadi nafasi ya nane wakitoka nafasi ya 10.

KIIZA APIGA BAO MBILI NA KUMPITA AMISSI TAMBWE WANAYEKIMBIZANA NAYE


Sasa imekuwa ni toka nikae, toka nikae. Kwani mshambuliaji Hamisi Kiiza wa Simba, leo amekaa kileleni katika ufungaji bora.

Kiiza amefunga mabao mawili wakati Simba ikiiangusha Ndanda FC kwa mabao 3-0, sasa amefikisha mabao 18 huku Tambwe akiwa na mabao 17.

Tambwe alifikisha 17 jana baada ya Yanga kuitwanga African Sports kwa mabao 5-0 huku yeye akifunga mawili na kumpita Kiiza aliyekuwa na 16 wakati yeye alikuwa na 15.

Kiiza raia wa Uganda na Tambwe kutoka Burundi wamekuwa wakichuana kwa kasi kubwa katika ufungaji wa mabao.


Wakati ligi inaendelea, hadi sasa hakuna uhakika kati ya hao wawili nani anaweza kuwa mfungaji bora msimu huu au kuna mwingine ataibuka na kuwapita.

Yanga yasonga mbele klabu bingwa Afrika

????????????????????????????????????
Mabingwa wa soka Tanzania Bara na wawakilishi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga SC leo imefanikiwa kuitoa Cercle de Joachim ya Mauritius kwa jumla ya mabao 3-0, kufuatia ushindi wa 2-0 jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mchezo wa kwanza ilishinda bao 1-0.
Alikuwa ni Amissi Joselyn Tambwe, mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi ambaye aliifungia Yanga bao la kwanza katika dakika ya tatu ya mchezo kwa kichwa akimalizia kwa uzuri krosi ya winga Simon Msuva.
Yanga waliendelea kulishambuliwa lango la wapinzani wao lakini kukosekana kwa umakini wa washambuliji wao kuliwanyima magoli mengi zaidi.
Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika Yanga walikuwa na akiba ya bao 1-0.
Kipindi cha pili Yanga waliingia na nguvu mpya na kufanikiwa kuongeza bao la pili lililofunga na Thaban Scara Kamusoko mnamo dakika ya 56 kwa shuti kali akiwa nje ya boksi, baada ya kuanzishiwa mpira wa adhabu na beki Mwinyi Hajji Mngwali.
Kwa matokeo haya Yanga sasa itakutana na APR kutoka nchini Rwanda baada ya kuwatoa Mbabane Swallows ya Swaziland kwa jumla ya mabao 4-2 katika Raundi ya Pili.
Yanga: Ally Mustafa ‘Barthez’, Juma Abdul, Mwinyi Hajji, Kevin Yondani, Vincent Bossou, Mbuyu Twite/Pato Ngonyani dk46, Simon Msuva, Thabani Kamusoko, Amissi Tambwe, Malimi Busungu/Paul Nonga dk46 na Deus Kaseke/Godfrey Mwashiuya dk76.
Cercle de Joachim: Abrefa Godfrey Yaw, Buckland Jimmy Hendrick/ Laretif Stan dk83, Balisson Paschal Damien, Natrey Isaac, Bazerque Desire, Permal Cedric, Langue Jean Anderson, Rasdarising Bhavish/Maguy Jacque Daniel dk78, Pithiaj Louis Fabien, Odame Abraham na Chiffone Louis Guiyano

MAN CITY YAJIWEKA SWAAFI, YAINYOOSHA DYNAMO 3-1 KWAO

Manchester City imejiweka katika mazingira mazuri ya kusonga mbele hadi hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Dynamo Kiev kwa mabao 3-1 ikiwa nyumbani.

Pamoja na kuonyesha soka safi ikiwa nyumbani, Dynamo Kiev imeshindwa kuonyesha cheche mbele ya wageni wake na kukubali kipigo hicho.


Kwa upande wa City, shukurani kwa Sergio Aguero aliyepachika bao katika dakika ya 15  na David Silva na Yaya Toure waliopachika mawili katika kipindi cha pili.

Dynamo Kiev starting XI :
 Shovkovskiy, Danilo Silva (Makarenko), Dragovic, Vida, Khacheridi, Rybalka, Garmash (Miguel Veloso), Gonzalez, Buyalskiy, Yarmolenko, Teodorczyk (Junior Moraes)
Dynamo Kiev subs: Rudko, Petrovic, Korzun, Gusev

Manchester City starting XI: 
Hart, Sagna, Kompany, Otamendi, Clichy, Fernando, Fernandinho, Toure, Silva, Sterling, Aguero
Man City subs: Caballero, Demichelis, Zabaleta, Mangala, Kolarov, M.Garcia, Iheanacho

PSV Vs Atletico Madrid
Mechi nyingine ilikuwa ni kati ya PSV ya Uholanzi waliokuwa nyumbani dhidi ya Atletico Madrid na mechi imeisha kwa sare ya bila kufungana.










PRISONS YAIZUIA AZAM FC SOKOINE MBELE, ILIKUWA BONGE LA MECHI



Prisons imeibana Azam FC na kuilazimisha sare ya bila bao kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, jana.

Sare hiyo inaifanya Azam FC kufikisha pointi 46 sawa na Yanga ambayo inaendelea kubaki kileleni kutokana na ubora wa mabao ya kufunga na kufungwa (GD).

Kwa upande wa mechi ilikuwa nzuri na yenye ushindani mkubwa kwa kuwa kila timu ilionekana ilikuwa imepania kushinda mchezo huo wa Ligi Kuu Bara.


Prisons imefikisha pointi 32 sawa na Mwadui FC inayonolewa na kocha mwenye maneno mengi, Jamhuri Kihwelo.

Pluijm ampa muda Niyonzima



LICHA ya wanachama wa Yanga kufurahia kurejea kwa fundi wa pasi kikosini hapo, Haruna Niyonzima ‘Fabregas’ baada ya kumaliza matatizo yake na klabu hiyo, kocha mkuu wa timu hiyo Hans van Der Pluijm amesema bado siyo yule Niyonzima anayemjua.

Kiungo huyo amerejea kikosini wiki iliyopita baada ya kukaa nje tangu Novemba mwaka jana, alipokwenda kwao Rwanda katika majukumu ya timu ya taifa.

Hata hivyo, Pluijm alisema kiungo huyo bado hajawa fiti kwa ajili ya kumtumia, badala yake anatakiwa kuongeza bidii mazoezini ili kurejesha kiwango chake kwani alikuwa nje muda mrefu.

 “Haruna bado hajawa fiti, anatakiwa kujituma zaidi ili kuwa fiti, hata mchezo uliopita (dhidi ya Friends), alikuwa asicheze, lakini  nililazimika kumtumia tu kwa kuwa Makapu (Said) alifiwa na kaka yake na mazishi yalikuwa siku hiyo.

 “Vinginevyo Haruna alitakiwa angalau acheze dakika 20 kwa kuwa hakufanya mazoezi na sisi,” alisema kocha huyo wa zamani wa Berekum Chelsea ya Ghana.

Stoke City 0-0 Arsenal: Gunners fire blank but still return to top of the Premier League by overtaking Manchester City and Leicester


There was snow on the ground and hostility in the air. After all that has gone before, you can see why this fixture remains the ultimate test of mettle for Arsene Wenger and his Arsenal team.
They emerged from it on this occasion with a well-earned point and a place back on top of the Barclays Premier League, albeit level on points once more with Leicester City.
It was frenetic stuff at a freezing Britannia Stadium. Olivier Giroud will feel that he could – probably should – have beaten Jack Butland on more than one occasion. Petr Cech, however, did his bit to keep out Stoke at the other end. This was not a bad draw at all for Wenger, four days after leaving Anfield deflated by a late Liverpool equaliser. 
Arsenal striker Olivier Giroud looks dejected after missing a chance during his side's Premier League clash against Stoke City
Arsenal striker Olivier Giroud looks dejected after missing a chance during his side's Premier League clash against Stoke City
Stoke City playmaker Bojan (left) shoots at goal as Arsenal captain Per Metesacker (right) attempts to block his shot 
Stoke City playmaker Bojan (left) shoots at goal as Arsenal captain Per Metesacker (right) attempts to block his shot 
Alex Oxlade-Chamberlain (centre left) attempts to break the deadlock but fails to find a way past goalkeeper Jack Butland and his defence
Alex Oxlade-Chamberlain (centre left) attempts to break the deadlock but fails to find a way past goalkeeper Jack Butland and his defence
Marko Arnautovic runs with the ball as Arsenal duo Joel Campbell and Hector Bellerin give chase in an attempt to win back possession
Marko Arnautovic runs with the ball as Arsenal duo Joel Campbell and Hector Bellerin give chase in an attempt to win back possession

MATCH FACTS, PLAYER RATINGS, PREMIER LEAGUE TABLE AND MATCH ZONE FROM THE BRITANNIA STADIUM

STOKE CITY (4-2-3-1): Butland 7.5; Johnson 6, Shawcross 8, Wollscheid 5.5, Pieters 7; Whelan 6.5, Afellay 7 (Van Ginkel 88); Walters 6.5, Bojan 6 (Diouf 64mins, 6.5), Arnautovic 7 (Adam 87) Joselu 7
Subs not used: Muniesa, Odemwingie, Crouch, Haugaard
ARSENAL (4-2-3-1): Cech 8.5; Bellerin 6, Mertesacker 7, Koscielny 6.5, Monreal 6; Ramsey 6, Flamini 6; Walcott 5.5 (Iwobi 72, 6.5), Oxlade-Chamberlain 7 (Chambers 90), Campbell 5; Giroud 7
Subs not used: Gibbs, Gabriel, Arteta, Ospina, Elneny
Attendance: 27,683 
Referee: Craig Pawson 
Ratings by Jack Gaughan 

Glenn Whelan's heat map shows his touches in Stoke's midfield — click HERE for more of our brilliant Match Zone
Glenn Whelan's heat map shows his touches in Stoke's midfield — click HERE for more of our brilliant Match Zone
The Gunners had won just once here in seven previous attempts since Stoke were promoted to the Premier League in 2008, and that was the rather hollow 3-1 victory in February 2010 when Aaron Ramsey suffered an horrific double leg break in a challenge with Ryan Shawcross.
The bad blood has festered since with Wenger admitting he gets more abuse at the Britannia Stadium than anywhere else in the country. It echoed to the chant of ‘Stand up if you hate Arsenal’ soon after kick-off, followed by a less than complimentary ditty about Wenger himself. The noise is always a few decibels louder when the Frenchman brings his team to the Potteries.
Strangely over the years, Ramsey has also become a target for the Stoke fans. They cheered when he pulled up after getting a whack in the back of the leg from Glen Johnson, and at one stage broke into a brief chorus of ‘Aaron Ramsey, he walks with a limp’. Given that the Wales midfielder was sidelined for nine months with the injury, you would have thought he would be one Arsenal player who might get a bit of sympathy in these parts.
Such was the level of vitriol towards the visitors, though, and the sight of snow piled by the side of the pitch in freezing temperatures only added to the frosty reception awaiting them as they arrived minus key playmaker Mesut Ozil, left back in London with a foot injury.

Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3403820/Stoke-City-0-0-Arsenal-Gunners-fire-blank-return-Premier-League-overtaking-Manchester-City-Leicester.html#ixzz3xWoSZp00

Haya ndo matokeo kati Liverpool 0-1 Manchester United

So Jurgen Klopp joins a long list of Liverpool managers vanquished first time out by Manchester United. Bob Paisley was the last to win his opening game against them, on November 8 1975 – United were in Division Two for Paisley’s first season at Anfield – and Wayne Rooney made sure Klopp wouldn’t even have the consolation of a point.
Not that he was in poor company there, either. Brendan Rodgers, Kenny Dalglish, Roy Hodgson, Rafael Benitez, Gerard Houllier and Roy Evans all lost their initial encounter with the enemy down the M62 – Graeme Souness the last not to get beaten, in 1991. So this is a tradition, although not one that the locals are too keen on upholding.
From United’s perspective, it wasn’t a greatly deserved victory, but it was most certainly an important one. Manchester United still resemble one of those arthouse films where nothing much happens for an hour, then there is a bit of action, the credits roll and everyone leaves none the wiser – but this is Anfield, after all. It is not an easy place for any Manchester United team to come and win, so they deserve credit for that, at least.
Manchester United captain Wayne Rooney celebrates wildly after firing his team to victory against fierce rivals Liverpool
Manchester United captain Wayne Rooney celebrates wildly after firing his team to victory against fierce rivals Liverpool
Rooney reacted fastest to pounce upon the rebound from a Marouane Fellaini header which had hit the crossbar
Rooney reacted fastest to pounce upon the rebound from a Marouane Fellaini header which had hit the crossbar
Rooney celebrates his goal against Liverpool with United team-mate Morgan Schneiderlin after scoring at Anfield
Rooney celebrates his goal against Liverpool with United team-mate Morgan Schneiderlin after scoring at Anfield
David De Gea leads the United celebrations after his side secured an important 1-0 victory against Liverpool at Anfield
David De Gea leads the United celebrations after his side secured an important 1-0 victory against Liverpool at Anfield
Emre Can led the charge for Liverpool early in the second half but saw his low, left-footed effort turned away by De Gea
Emre Can led the charge for Liverpool early in the second half but saw his low, left-footed effort turned away by De Gea
Liverpool and Germany midfielder Can reacts after seeing his effort at goal turned away by United stopper De Gea
Liverpool and Germany midfielder Can reacts after seeing his effort at goal turned away by United stopper De Gea
Liverpool manager Jurgen Klopp was dejected on the sidelines after his side failed to take their chances against United
Liverpool manager Jurgen Klopp was dejected on the sidelines after his side failed to take their chances against United

MATCH FACTS, PLAYER RATINGS, PREMIER LEAGUE TABLE AND MATCH ZONE FROM ANFIELD 

Liverpool (4-3-3): Mignolet 6.5, Clyne 6, Toure 7, (Benteke, 81), Sakho 5.5, Moreno 6, Henderson 7, Lucas 7.5, Can 6.5, Lallana (Ibe, 76) 6, Firmino 6.5, Milner 6 (Caulker, 90). 
Subs not used: Allen, Smith, Ward, Teixeira.
Manchester United (4-2-3-1): De Gea 8.5, Young 5 (Borthwick-Jackson,43), Smalling 6.5, Blind 7.5, Darmian 7, Schneiderlin 7, Fellaini 7, Lingard 6, (Mata, 66), Ander Herrera (Depay, 72), Martial 7, Rooney 8. 
Subs not used: Romero, Varela, McNair, Andreas Pereira.
Goal: Rooney, 78. 
Booked: Smalling, Fellaini  
Referee: Mark Clattenburg
Att: 43, 685
 
The move which led to Rooney's winner - click here to see more from our superb MATCH ZONE feature
United midfielder Fellaini (left) clashes with Liverpool's Lucas in a simmering duel between the two in the first half
United midfielder Fellaini (left) clashes with Liverpool's Lucas in a simmering duel between the two in the first half
Anthony Martial (third right) and Nathaniel Clyne (right) rush over separate Fellaini and Lucas in the match at Anfield
Anthony Martial (third right) and Nathaniel Clyne (right) rush over separate Fellaini and Lucas in the match at Anfield
Fellaini of United lies on the ground after earlier bumping heads with Liverpool midfield player Lucas in the Premier League game
Fellaini of United lies on the ground after earlier bumping heads with Liverpool midfield player Lucas in the Premier League game
Jordan Henderson (centre), the Liverpool captain, watches as he drills a shot wide of goal in the first half against United at Anfield
Jordan Henderson (centre), the Liverpool captain, watches as he drills a shot wide of goal in the first half against United at Anfield
Liverpool defender Mamadou Sakho (left) gets across to block an attempt at goal for United by striker Martial (right)
Liverpool defender Mamadou Sakho (left) gets across to block an attempt at goal for United by striker Martial (right)
Adam Lallana had Liverpool's best chance in the first half and was denied by De Gea from breaking the deadlock
Adam Lallana had Liverpool's best chance in the first half and was denied by De Gea from breaking the deadlock

VAN GAAL'S LIVERPOOL RECORD 

Games: 4
Wins: 4
Goals: 9
Conceded: 2
Clean Sheets: 2 
The collision looked accidental but Fellaini came off worse and appeared to take umbrage at this. Not long after, the pair were scrapping again over by the touchline, with referee Mark Clattenburg required to restore order amid the standard melee.
Yet, much like the match, their duel failed to spark and the game took a predictable slant. Manchester United had a reasonable share of the ball, but absolutely zero threat on goal for long periods. Liverpool played a high energy game without the quality necessary to make it count.
They pressed and harried, but too often finished wildly. David De Gea was busier than Simon Mignolet but should have been made to work harder. Jordan Henderson’s contribution was particularly frustrating. 
He got into good shooting positions but was too often wayward. What he did get on target equated to little more than pre-match practice for De Gea. Henderson is charged with assuming Steven Gerrard’s mantle at Liverpool, but it wasn’t just will that made the former captain such a magnificent player. He had the ability to back it up. Henderson lacks Gerrard’s range – and in more ways than one.
Still, Liverpool had the best of the action in the first-half and could have gone in at half-time ahead. In the tenth minute, Lucas clipped a ball over the top for Adam Lallana to run free. He outstripped the Manchester United back line and tried to head the bouncing ball past De Gea, who blocked, with it running to Roberto Firmino – only for his shot to fly wide of the far post.
Just two minutes later, Firmino – increasingly impressive under Klopp – switched the play to James Milner in a lot of space on the right. His shot was snatched, however, flying high over the bar – not what watching England manager Roy Hodgson would have wanted to see.
There are glimpses of what can be achieved under Klopp’s tuition, though, and in the 30th minute a passing move involving Lucas, Henderson, Lallana, Firmino and Henderson again, ended with the England midfielder shooting wide, a trend that continued in the second-half. 
United manager Louis van Gaal look stressed by his team's first-half performance against Liverpool at Anfield in the Premier League
United manager Louis van Gaal look stressed by his team's first-half performance against Liverpool at Anfield in the Premier League
Ashley Young went off injured in the 43rd minute for United against Liverpool in the Premier League at Anfield
Ashley Young went off injured in the 43rd minute for United against Liverpool in the Premier League at Anfield
United captain Rooney (right) takes on Liverpool defender Kolo Toure during the first half, which ended without a goal
United captain Rooney (right) takes on Liverpool defender Kolo Toure during the first half, which ended without a goal
Roberto Firmino, again leading Liverpool's attack after his double against Arsenal, tried to evade a challenge from United's Daley Blind
Roberto Firmino, again leading Liverpool's attack after his double against Arsenal, tried to evade a challenge from United's Daley Blind
England manager Roy Hodgson was at Anfield to see a host of his internationals on display in the Premier League clash
England manager Roy Hodgson was at Anfield to see a host of his internationals on display in the Premier League clash
Emre Can forced a good save from De Gea in the 50th minute, and a superb one 16 minutes later – when he also recovered in time to keep out Firmino’s follow up – and Mamadou Sakho couldn’t get sufficient purchase on an excellent cross by Milner in the 73rd minute. Yet all the time, United were growing stronger – buoyed by the arrival of positive substitutes such as Depay and Mata. 
Anthony Martial had their first real opportunity after 57 minutes, when Rooney played back a cross from Cameron Borthwick-Jackson, and maybe one day Manchester United will have a manager who will play the Frenchman in a dangerous position through the middle. 
If there is a negative in this result for United it is that Louis Van Gaal could interpret it as vindication of his ploy to use Rooney as his centre-forward and Martial wide. Title talk, post-match, from the manager, suggests this is so.
And, of course, Manchester United are still in touch and a club with their resources should never be underestimated; but neither should the evidence of our own eyes. 
This may have been a title-winners result, but it was not a title-winners performance. United have had four shots on target in two games against Liverpool, and scored from them all. It is hard to see how a title challenge can be maintained with such slender margins. All that can be said of Manchester United is that they are considerably further ahead in their rebuilding project than Klopp and Liverpool. 
The revolution, for both clubs, is slow in coming. Unfortunately, for the neutrals watching at home, it is always televised.
Phil Jones was in the away end alongside the United supporters to watch his side take on Liverpool at Anfield
Phil Jones was in the away end alongside the United supporters to watch his side take on Liverpool at Anfield
United and England midfield player Michael Carrick was also in the stands to watch his team take on Liverpool
United and England midfield player Michael Carrick was also in the stands to watch his team take on Liverpool
Liverpool's injured Brazil international playmaker, Philippe Coutinho (second left) watches on from the stands at Anfield
Liverpool's injured Brazil international playmaker, Philippe Coutinho (second left) watches on from the stands at Anfield

SIMBA YALIPA KISASI YAIPIGA MTIBWA BAO 1-0

Wachezaji wa Simba Ibrahim Ajib (kushoto), Amis Kiiza (katikati) na Peter Mwalyanzi (kulia) wakishangilia goli lililofungwa na Amis Kiiza
Kocha wa Simba Mganda Jackson Mayanja ameanza vizuri kibarua chake baada ya kukiongoza kikosi cha ‘wekundu wa Msimbazi’ Simba kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mechi yake ya  kwanza ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara akiwa kama kocha wa timu hiyo  ambayo siku chache zilizopita imemfukuza aliyekuwa kocha wake mkuu Dylan Kerr.
Goli la Simba limefungwa na Amis Kiiza katika dakika ya nane kipindi cha kwanza bao ambalo limedumu hadi dakika ya 90 ya mchezo na kuishuhudia Simba ikiondoka uwanjani na pointi tatu mbele ya Mtibwa.
Ajib-baba Ubaya 1
Kikosi cha Simba kilikuwa chini ya kocha Jackson Mayanja aliyejiunga hivi karibuni kama kocha msaidizi wa timu hiyo kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa kocha msaidizi wa wekundu wa Msimbazi Selemani Matola ambaye alijiuzulu kutokana na kutoelewa na aliyekuwa kocha mkuu Dylan Kerr.
Baada ya kuondoka kwa Kerr Mayanja alipewa jukumu la kuinoa Simba akiwa kama kocha mkuu hadi hapo atakapopatikana kocha mkuu atakayechukua mikoba ya Kerr aliyetimuliwa baada kufungwa na Mtibwa Sugar kwenye michuano ya Mapinduzi Cup wiki iliyopita visiwani Zanzibar.
Ajib-baba Ubaya
Mchezo huo ulikuwa ni kwanza kwa Mayanja na amefanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya timu iliyowatoa kwenye Mapinduzi Cup wakati huo Mayanja alikuwa jukwaani akishuhudia mtanange huo. Ushindi wa leo wa kikosi cha Simba ni sawa na kulipa kisasi kwa wakatamiwa hao.
Mtibwa Sugar walicheza soka safi licha ya kupoteza mchezo huo lakinin watajilaumu wenyewe kwa kupoteza nafasi walizozipata kwenye mchezo huo.
Matokeo ya michezo mingine iliyopigwa leo kwenye viwanja vingine ni kama ifuatavyo:
JKT Ruvu 1 – 5 Mgambo JKT 
Toto Africans 0-1 Tanzania Prisons 
Stand United 1-0 Kagera Sugar 
Mbeya City 1-0 Mwadui FC 
Coastal Union 1-1 Maji Maji FC