Bongo Movies: Majuto, Hemedy, Johari watoa filamu mpya (Picha)

Nao Mzee Majuto na Hemedy wameachia filamu yao Kimbulu iliyofanyika jijini Mwanza.

“Sio kila unayemkuta kijijini ni mshamba wengine wanajua na wanaweza kuliko wewe. Mzee Mbunda na wajukuu zake jembe na edo madirector kutoka mjini wanaingia kijijini na kuwa na maisha ya KIMBULU. yaan paka lililoshindikana ila wanakwaa visiki baada ya kukutana na wanakijiji wanaojua zaidi yao,” yanasomeka maelezo ya filamu hiyo.Filamu nyingine iliyoingia sokoni ni Wrong Hope iliyochezwa na Blandina Chagula maarufu kama Johari.




No comments:

Post a Comment

paulmkale