Suma Mnazaleti azungumzia wimbo wake mpya akiwa na Roma,’Mnazaleti Mkatoliki’


Suma amesema wimbo unazungumzia changamoto mbalimbali zinazowakumba wasanii wa Bongo.

“Wakati tunaandika huu wimbo tumeangalia matatizo yaliyopo kwenye hili game, game imekuwa ina kasumba, hakuna show, kun awatu ambao wanapewa show pekee, wengine hawapewi, wanaopewa unakuta hawana Hata hits. Kwahiyo ni full ubaguzi. Kuna wasanii hawakosi show hata kama hawana hits, tumezungumzia vitu kama hivyo. Kwahiyo Roma aliandika anachokifiria yeye na mimi nikaandika ninachokifikiria mimi, ni full hip hop hata mimi nirudi kwenye Hip Hop baada ya kuimba kwa muda mrefu. Mashabiki wasubirie vitu vikali ndani ya weekend hii,” amesema.

No comments:

Post a Comment

paulmkale