LINEXMungu ni Wa ajabu hata ukiwa mtenda mabaya ukirudisha moyo wako nyuma
anasamehe na kusahau”, hayo ni baadhi ya maneno katika wimbo mpya wa
Linex uitwao ‘Wema Kwa Ubaya’ ambao anatarajia kuutoa.Kuna dalili nyingi
sana za wimbo huu wa hisia kuteka mioyo ya wengi, na ukitaka kufahamu
sababu basi tazama sekunde 30 za video teaser ya video yake ambayo
imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level.
|
No comments:
Post a Comment
paulmkale