Angali Hapo Chini Picha Izzo B Akishoot video ya ‘Walalahoi’Inayotarajia kutoka hivi karibuni
Izzo ameingia mtaani kushoot video ya wimbo wake ‘Walalahoi’ chini ya muongozaji aliyeongoza video zake nyingi, Nick Dizzo. Hizi ni baadhi ya picha za Izzo akiwa location kutengeneza kichupa hicho.
No comments:
Post a Comment
paulmkale