Diamond kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Big Brother Africa, Jumamosi hii.(NISHEEDAH)

Diamond Platnumz atakuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye uzinduzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa utakayofanyika Jumamosi hii, September 7 nchini Afrika Kusini.more »
meneja wa staa huyo, Babu Tale amesema Diamond atarejea leo akitokea nchini Ujerumani ili kujianda ya na show hiyo. “Diamond anarudi leo saa tano usiku atakuwa kasharudi bongo kwa sababu weekend hii tunaperform kwenye Big Brother launch kwahiyo tunaenda South Africa. Tukitoka South Africa tunakwenda Nairobi kwenye Coke Studio kurekodi. Tukitoka Nairobi tunakwenda Ungereza kwenye show ya African Unplugg...

No comments:

Post a Comment

paulmkale