Hivi Karibuni Steve RnB Anatarajia kuachia wimbo mpya wa riddim ‘Pole Pole’
Kila mtu alipenda kile alichokifanya Steve RnB kwenye
wimbo wake wa reggae ‘Jambo Jambo’ ambao beat
yake ya riddim ilitumiwa na wasanii kibao wa Jamaica
akiwemo Busy Signal na wimbo wake Missing You.
Jambo Jambo ilivutia pia kufanyika kwa riddim zingine
kutoka Bongo kutumia beat hiyo. Na sasa mkali huyo wa
rnb anarejea tena na ngoma nyingine ya riddim iitwayo
‘Pole Pole’. Ngoma hiyo itatoka September 18.@paulmkale
No comments:
Post a Comment
paulmkale