Kaa Tayari;Belle 9 kuja na ‘Vitamin Music’ aliyomshirikisha Joh Makini

Belle 9 anatarajia kuwaongeza binadamu Vitamin muhimu mwilini, Vitamin Music. Muimbaji huyo kutoka Morogoro ameiambia Blog Hii kuwa amemshirikisha Joh Makini kwenye
wimbo huo uliotayarishwa na producer wa Classic Sounds, Mona Gangster. Vitamin Music ni jina la album aliyowahi kusema ataitoa msanii huyo. “Album iko palepale, ila mazingira tu ya utoaji kidogo yanahitaji umakini,”

No comments:

Post a Comment

paulmkale