Hivi sasa katika mitandao ya kijamii wasanii wanaobattle kwenye
vichwa vya habari na kutengeneza ‘kick ya story’ ni Diamond na Ali Kiba.
Kwa hiyo ni kawaida mstari mmoja unaowahuwahusu kutengeneza story ya
aya tano kwa kuwa wanapendwa sana na mashabiki.
Rapper wa Micharazo na BOB, Mr Blue amekutana na swali hilo ambao ulitaka kupata mtazamo wake ni yupi
kati ya wakali hao angependa kushirikiana nae kwenye wimbo wake hivi
karibuni.
“Unajua mimi wale wote washikaji zangu na wala sina tatizo nao, kwa
hiyo niko tayari kufanya kazi na yeyote yule ambaye atakuwa tayari. Si
unajua hii kazi na kazi mkishirikiana pamoja ndio inakuwa nzuri zaidi.”
Amesema.
Mr Blue anatarajia kuachia video muda kwa wowote zilizoongozwa na Adam Juma, Pesa na Mapenzi.
No comments:
Post a Comment
paulmkale