Rich Mavoko-Pacha wangu(Official Music Video)

Hatimaye Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Pacha Wangu’
iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu. Video imefanyika jijini Cape Town, Afrika
Kusini na kuongozwa na director Adam Juma wa Visual Lab:Next Level. Itazame Hapa


No comments:

Post a Comment

paulmkale