Msanii wa Tanzania kupata nafasi ya wimbo wake kuchezwa hadi kuingia kwenye
Top 10 ya radio tatu za Nigeria ni jambo kubwa, lakini kufikia hatua ya
hadi kuombwa kufanyiwa mahojiano na radio hizo ni jambo kubwa zaidi ambalo
tunaweza kulihesabu kama sehemu ya mafanikio kwa msanii wa bongo aliyeianza
safari ya kujitangaza kimataifa. Wimbo wa Kerewa Aliomshilikisha Diamond Platinumz […]
No comments:
Post a Comment
paulmkale