Diamond Platinumz Ft Yemi Alade_-Ukimwona"Coke Studio Africa"(VIDEO)

Inawezekana wewe ni miongoni mwa wapenzi wa wimbo wa Diamond Platnumz ‘Ukimwona’, ambao ulifanya vizuri sana kwenye mitaa mbalimbali ya.....> Tanzania japokuwa haukutoka rasmi.

Akiwa kwenye msimu wa pili wa Coke Studio Africa, Diamond Platnumz aliamua kuuongezea uhai wimbo huo kwa kuuimba upya na msanii wa kike kutoka Nigeria aliyefanya vizuri na wimbo wake wa ‘Johnny’, Yemi Alade. Tazama video ya studio iliyofanywa na Coke Studio Africa Hapo Chini


No comments:

Post a Comment

paulmkale