Drake Aachia Ngoma Mpya 3-How About Now,6 God,Heat Of The Moment(Official Audio)

Siku moja baada ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa October 24, Drake ambaye ametimiza miaka 28 ameachia ngoma tatu mpya kwa mpigo. Drizzy ameachia nyimbo hizo kupitia website yake ya OvoSound pamoja na akaunti yake ya SoundCloud October 25. Majina ya ngoma hizo ni ‘6 God’, ‘Heat of the Moment’ pamoja na How About Now.Download Hapa Ngoma Hizo

No comments:

Post a Comment

paulmkale