Hisia_-Gimme A Call[NEW AUDIO]

Baada ya ukimya mdogo star kutoka TPF ambaye ametamba na ngoma zake kama Mawazo na Just fo you amerudi tena, Hii ni ngoma yake mpya inaitwa “Gimme A Call” ikiwa ni mkono wa John Blass wa Grandmaster Records.

No comments:

Post a Comment

paulmkale