Wimbo mpya kutoka kwa Mkubwa na Wanawe ambao ni kati ya nyimbo zilizopo
kwenye collection ya NISEME. Wimbo huu inaitwa INOOH. Mkubwa na Wanawe ni
wansanii ambao kwa muda mfupi sana wameweza kuonekana katika majukwaa
makubwa na kuwa na mafanikio makubwa sana kimuziki wakiwa chini ya
usimamizi wa Mkubwa mwenyewe Saidi Fela. Fela ni meneja ambaye amesimamia
na kuwatoa wasanii na makundi kama Juma Nature na Wanaume.Usikilize Na Download Hapa
No comments:
Post a Comment
paulmkale