Angel Benard – Mimi na Yesu[NEW AUDIO]@paulmkale

Ni wimbo unaoelezea jinsi ambavyo Mungu ni ukamilifu wa maisha ya mwanadamu. Na hivyo hakuna cha kuogopa wala wa kumuogopa humu duniani. Kila kitu kimetoka kwa Mungu, kinapatikana kwake na mwisho wa siku tuna kila sababu ya kutoogopa na kukiri kwa ujasiri kuwa yote yanapatikana kwake.Isikilize Na Download Hapa

No comments:

Post a Comment

paulmkale