Angel Benard_-New Day[NEW AUDIO]

Wimbo wa 3 kutoka kwenye album *NEW DAY* ya *Angel Benard*, wimbo huu *New day* ndiyo unabeba jina la album. Katika huu wimbo siku ya jana inawakilisha "mambo yaliyopita" inaweza kuwa ni mtu, vitu, hali fulani n.k. Tunaiaga kwaheri na kukubali kuendelea na maisha yaliyopo mbele yetu. Hakuna kurudi nyuma. http://www.angelbenard.com/ https://www.facebook.com/OfficialAngelBenard https://twitter.com/AngelBenard

No comments:

Post a Comment

paulmkale