JCB ft Hisia – Mtoto Mkali"Ghetto Love"[NEW AUDIO]
Hii ni ngoma mpya ya JCB Kutoka WATENGWA Kijenge Juu, ngoma inaitwa
MTOTO MKALI (Ghetto Luv) imefanywa katika studio za Watengwa chini ya
Daz Naledge na kufanyiwa Mastering na DX wa Noiz Maker. Featured kwenye
huu wimbo ni Hisia kutoka Tusker Project Fame. Hii ngoma itapatikana
katika Album mpya ya #YANIKAMBELEKABISA #YKMK ambayo itatoka hivi
karibuni.Isikilize Na Download Hapa..>
No comments:
Post a Comment
paulmkale